Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Sasa Polepole kajihudhuru bila hata kukabidhi office. 🤣🤣🤣
Hatari ikitokea Kuna njia mbili au tatu. Kupambana, kukimbia au majadiliano. Yeye kachagua kusepa anafahamu vinyago walivyochonga vinawatisha na kuwaondoa kabisa uhai. Jamaa atakuwa anajuta amejutia makosa yake bila shaka.
 
Reactions: Lax
Kwa mabeberu au wsdau wa maendeleo?
 
Kama Kigogo ndio source sina imani na kama habari ya ukweli kama yupo Sweden
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?

Muwe mnapata muda wa kusoma hoja na kuelewa na sio kudandia tu kutoa majibu

Cuba ni ulaya?
 
Bora kakimbilia huko aisee kikundi cha wauaji kipo very active Tanzania, yaani kingemuua kama Mzee Kibao kilivyomuua. Dkt Samia in fact ana damu za watu maana hataki kukemea
 
Sio kujihudhuru ni kujiuzulu mkuu. Otherwise umeandika points
 
Kuna uwezekano akawa na kundi kubwa nyuma yake
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Mama, Cuba sio ulaya, Cuba ipo America.

Back to the story; Polepole kafanya vema sana kutokurudi nchini, hofu yake ndio mtazamo wetu wengi humu, kwa alicho kiandika na mazingira ya sasa nchini, usalama wake upo compromised, anaweza kupotezwa.
 
Kwa umri huu kubeba box ni kazi
Ila maisha ndio yalivyo hatujui kesho
Kama watoto watasoma

Angekuwa kwa mr slim angemfuata maili 2000 kama anavyotamba
 
hapo ndipo walipokosea mahesabu. wao walijua wanamtupa kisiwani huko.
Wanakutupa chooni ili uchafuke na kinyesi baadae wanagundua umenawiri na una enjoy kula funza wa kwenye kinyesi..
 
Kashenzi kweli kale. Na kenyewe kameenda kujificha ughaibuni kama kalivyosababisha Lissu na Lema wakajifiche!
Ama kweli what goes around comes around..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…