DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Hili neno "mabeberu" Polepole na akina Magufuli walikua wanalitaja kwa mbwembwe sana... kuna watu wanatamka neno "mabeberu" kujifanya wanaharakati kumbe hamna kitu...Kabisa mkuu, what goes around, comes around. Karma ni nyoko! Kwa hiyo na yeye yupo kwa mabeberu
Kweli tujifunze kuweka akiba ya maneno.
Binadamu tuna ujinga wa kujisahau kuwa kila tunapopita tunaacha alama. Kwa kuwa hamna aliyekamilika tumsamehe makosa yake ila tusisahau. Tukumbuke ule msemo nimekusamehe ila sitakusahau kamwe.Hili neno "mabeberu" Polepole na akina Magufuli walikua wanalitaja kwa mbwembwe sana... kuna watu wanatamka neno "mabeberu" kujifanya wanaharakati kumbe hamna kitu...
Kitu pekee anachokijua kichwani kwake ni "MAMA SAMIA ", nje ya hapo ni empty set,,, Fikajapo nafimo.Cuba haiko Ulaya 🤣🤣🤣 hebu pitia atlas on-line 🤣🤣🤣
Hii nchi kwani una ugeni nayo wewe?Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Joh Makini kwenye ngoma flani kuna mstari mmoja ame-rap " kimwili ni watu wazima kiakili ni watoto wa juzi"Cuba ni ulaya ???? Mbona hili somo la geografia ni darasa la tano tu. Kama Cuba na Sweden zote unaita ulaya tuna haki kuitwa dunia ya tatu hata kuitwa Ulimwengu wa kale
Malipo ya kumsaliti Jaji WariobaKilichonistua zaidi ni kitendo cha Balozi Polepole kukimbilia Sweden na kuomba hadhi ya ukimbizi na kupewa mara baada ya kuandika barua ya kujiuzulu yenye shutuma kali sana dhidi ya uongozi wa nchi.
Wewe ungeweza? Kama Mzee Kibao tuu alishushwa kwenye daladala mchana kweupe wakaenda kumuua na alikuwa mwanachama tuu Wachadema,je Polepole kama Balozi si atatupwa kwenye pipa la tindikali.Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Gentleman nikuulize swali?changia hoja bila mihemko, uropokaji wala makasirko na itapendeza zaidi gentleman 🐒
uliza kwa faida ya wadau wote jukwaani gentlemanGentleman nikuulize swali?
Kwa ile barua alivyoandika kihasira, picha ya Samia pale ukutani atakua ameishua akaitupa chini na kuikojolea then ile bendera pale mezani atakua kaipiga mateke na kuinyea kabisa..Sasa Polepole kajihudhuru bila hata kukabidhi office. 🤣🤣🤣
Gentleman ,Kati ya Mama Samia na Ccm kipi bora kwako?uliza kwa faida ya wadau wote jukwaani gentleman
Sio kosa lake.Hivi Cuba ipo ulaya popoma nyie
Duh! Cuba ni Ulaya? Ccm ni janga.Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Mafwele.Ni bora ameomba ukimbizi.
...Hivi unafikiri mafele amejisikiaje?
Sasa ndo mnaleta usukuma hadi kwenye issue serious?Hapana, anaweza kuwa anaelewa lakini ni yale mazingira yetu ya kienyeji tunajua kwa wazungu kote ni Ulaya. Chukulia sisi Usukumani mtu akienda kupanda ndege kwenda kwa wazungu huwa tunasema lyalala I'libhehi kuja bulaya!
CCM Akili hawanaUna elimu gani? Cuba na Ulaya wapi na wapi nyie ndo washauri wa Rais?