Kigogo mzito serikalini shoga

Kigogo mzito serikalini shoga

Mungu atunusuru na watoto wetu,sasa huyu kijana mbona hakusema kama ndio mara yake ya kwanza au ndio kazi yake,
au wakati wanaanza kutakana mpaka unapelekwa hotel mara zote hizo umetulia tuu? unaitwa baby na mwanamme mwenzio umenyamaza tuu? mambo mengine hata siyo,wanatulia wanakula vijisenti wanapelekwa shopping wakisha takata wanaanza jeuri na kwenda kusema kwa Shogongo,sijui ndio kutaka umaarufu au sijui ninini....
 
eti anaitwa mke wangu baby, duh sasa akina Dinazarde wataitwaje
 
Last edited by a moderator:
Mbona,kuna mmoja ni waziri kabisa na,kapumuliwa sana kisogoni wakati yuko jkt miaka hiyooo
 
jina ni nani au yule mwenye w,,,a, ,,k,,,,,e,2mmmh sijajua
 
Sasa Dogo kaona anamchafua kiongozi kumbe anajichafua yeye,Huyo kigogo atakuwa mzanzibar maana nasikia hana mke yule jamaa na michezo yake ndio hio aliwahi fanya starlight hotel miaka hyo.
 
Kwa wale wenye maswali juu ya hili, Gay au Shoga, ni mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja so wote wawili ni mashoga
 
Nahisi hawa huyu atakuwa kiongozi wa juu wa Jeshi la Polisi manake wanatembea na ving'ora nao
 
Wabongo kama mbele dah Aibu kubwa sn . May God forbid this.
 
kiswahili fasaha ni kwamba Dogo ndio Shoga. Maaana yeye ndio anaef........wa. Kigogo hapa anaitwa Basha.
 
Eee mungu mkubwa nilishakuja na story hapa mdogo wangu alifanyiwa kitendo kichafu na huyu kigogo huyu na kuomba ushauri nifanyeje ila mlinishambulia sana na kwa matusi wengine wakanikebehi sasa nashukuru wengine wameyaona nina mjua kabisaaa na nilishakutana nae kwenye case ya mdogo wangu. Soon ataumbuka na hawezi kuacha maana kuanzia wanaomlinda anawatumia na anapenda sana watoto wazuri wazuri ni mshenzi wa tabia pamoja na kuongozwa kwenye msafara bado macho juu juu nje kutazama vijana wazuri. Please natamani wamuweke hadharani.
 
kiswahili fasaha ni kwamba Dogo ndio Shoga. Maaana yeye ndio anaef........wa. Kigogo hapa anaitwa Basha.

Mkuu basha hilo neno nahisi limekuja hivi karibuni ila wote ni gays maana wanoshiriki matendo ya jinsia moja wa wanaume wanaitwa gays ila anaegongwa anaitwa bottom gay anaegonga anaitwa top gay na anaegonga na kugongwa anaitwagay vers so woote ni gays hakuna cha afadhali hapo mkuu
 
Sawa sawa, sasa hebu tupe tafsiri ya hayo maneno Bottom gay, top gay etc.
 
biashara matangazo ndio maana wameweka jina na picha ya mfanya biashara kigogo ni mteja tu hana kosa
 
Back
Top Bottom