eti anaitwa mke wangu baby, duh sasa akina Dinazarde wataitwajeMungu atunusuru na watoto wetu,sasa huyu kijana mbona hakusema kama ndio mara yake ya kwanza au ndio kazi yake,
au wakati wanaanza kutakana mpaka unapelekwa hotel mara zote hizo umetulia tuu? unaitwa baby na mwanamme mwenzio umenyamaza tuu? mambo mengine hata siyo,wanatulia wanakula vijisenti wanapelekwa shopping wakisha takata wanaanza jeuri na kwenda kusema kwa Shogongo,sijui ndio kutaka umaarufu au sijui ninini....
Viongozi wenye msafara ni Rais na makamu wake na waziri mkuu.
Nikiweka chujio Rais hapana,PM hapana pia....sasa....?
Cooked story.....
hata Muuza Sura anaweza kua anamjua...halaaaaaaa
kiswahili fasaha ni kwamba Dogo ndio Shoga. Maaana yeye ndio anaef........wa. Kigogo hapa anaitwa Basha.
Mkuu basha hilo neno nahisi limekuja hivi karibuni ila wote ni gays maana wanoshiriki matendo ya jinsia moja wa wanaume wanaitwa gays ila anaegongwa anaitwa bottom gay anaegonga anaitwa top gay na anaegonga na kugongwa anaitwagay vers so woote ni gays hakuna cha afadhali hapo mkuu