Kigogo Richmond aibwaga serikali kortini, ndo naelewa kwanini Mwakyembe/CCM hawaendi mahakamani

Kigogo Richmond aibwaga serikali kortini, ndo naelewa kwanini Mwakyembe/CCM hawaendi mahakamani

Hahaaaa,Richmond ilipikwa tu na wataalam wa majungu na fitna,yule mzee wa Tabora aliutaka uwaziri mkuu
Kwahiyo chadema miaka yote nane walikuwa wanapika majungu kwa manufaa gani sasa?

Kumbe chadema ni chama cha majungu siyo
 
Habari kubwa ya ajira 52,000 iliyojaa kurasa nzima hukuiona? Wendawazimu si mpaka uuvue nguo. Hata kung'ang'ania kufanya yasiyotija kwa muda mrefu.
Kwani kuhusu ajira hii mara yao ya 1?
Wewe unahadaiwa na takwim hizo?Hata wewe unaweza kutype 52,000
 
Inavyoonekana, Watanzania wengi tuliimbishwa wimbo ambao hatukuujua. Wakati ule hakuna mtu aliyeujua unafiki wa Mwakyembe. Wote tuliamini alikuwa na nia njema.

Huchukua muda lakini ukweli huwa hauwezi kufichika. Watanzania wote tuliimbishwa bila kujua ili kufanikisha malengo ovu ya Mwakyembe na Marehemu (Mungu amrehemu). Ajenda kuu inaonekana ilikuwa kupata madaraka na chuki dhidi ya utawala uliokuwepo.

Jambo la kujiuliza, kama kulikuwa na ufisadi katika huo mradi, imeshindikana vipi kumpata hata mtu mmoja tu wa kumtia hatiani? Mwakyembe alifanikiwa kufikia nia yake maana ni yale majungu ndiyo yalimwingiza serikalini ili kumpooza. Lakini unafiki ni tabia. Serikali ya awamu ya 4 aliyoitumikia imemaliza muda wake, baada ya kushindwa ku-perform, anasema eti alishindwa kudhibiti biashara ya madawa ya kulevya kutokana na nguvu kubwa iliyokuwepo (alimaanisha nani kama siyo Rais?).

Si ajabu serikali hii ikimaliza muda wake, tutamsikia Mwakyembe akiilaumu kwa namna tofauti. Ukiwa na hekima, usishikamane na mnafiki, hata kama leo hii anakusifia sana.
 
Kwani kuhusu ajira hii mara yao ya 1?
Wewe unahadaiwa na takwim hizo?Hata wewe unaweza kutype 52,000
Si kama hivyo nimeandika ajira 1,333,333. Cha msingi ni kujuwa zipo kwenye nyanja ziti watu wajue na wapeane ujanja namna ya kufanikiwa kuzipata.
Haya hiyo Richmond iliyofanyiwa uamuzi inatija gani kwa taifa kwa sasa. Nyie ndio mkifika kwenye ajari huwa mnahangaika kubeba maiti na kuacha majeruhi ili muonekane mnao huruma. Richmond ni maiti na habari ya ajiri ni kama majeruhi hivyo ndio ya kujadiriwa kwanza watu wapeane ujanja. Pengine wewe cha uvivu au teja unao ujnja juu ya ajira fulani, ukiutoa utakuwa umemsadia mtu kupata ari ya kwenda kuiomba kazi husika.
 
Umesahau tu,bunge la bajet ya 2016/17
Namba za ajira zilitoka,na hakuna aloajiriwa isipokuwa walio kwenye ajira walirudishwa nyumbani.
Unafurahia TAMKO la ajira 52,000 wakat hata tangazo la kazi hujaliona,waraka hujauona,
Usiwaamini sana hao jamaa,kwa sababu leo hii wanakanusha kuwa hawakuahidi ELIMU BURE,ila waliahidi ELIMU BILA MALIPO wakat ni wao waliweka ELIMU BURE KWENYE ILANI.
Endelea kusubir lakini.
 
Mwakiembe kasema ana ushahidi juu ya ufisadi wa lowassa kwenye richmond.. je kwanini siku zote hajampeleka mahakamani ili hali pia ameshakuwa waziri wa sheria na katiba?? Badala yake anapiga maneno bungeni...
Anayetakiwa kwenda mahakamani si Mwakyembe bali ni Lowassa ,akadai kuchafuliwa jina hadi akajiuzuru kama kweli yeye ni msafi,haiwezekani wewe uitwe jambazi halafu ukae kimya tu kama kweli wewe sio jambazi
 
Kyembezz ana viroja sana. Eti anasema.... Nichokozeni muone kama sintolia hadi majirani waniombe pooh.. Kamsemo ka - kitoto kwelikweli. Wakiunguruma atakimbia.
 
Anayetakiwa kwenda mahakamani si Mwakyembe bali ni Lowassa ,akadai kuchafuliwa jina hadi akajiuzuru kama kweli yeye ni msafi,haiwezekani wewe uitwe jambazi halafu ukae kimya tu kama kweli wewe sio jambazi
Hivi ushajiuliza kama kweli mh. mwak'embe ni mzalendo kwa nini wakati wa mjadala kuhusu Richmond hakutoa huu ushahidi anaojigamba anao kwa sasa?
Unadhani kimya chake enzi zile kilimaanisha nini? na
Unadhani anamaanisha nini kwa sasa?
Uzalendo wake u wapi?
 
Umesahau tu,bunge la bajet ya 2016/17
Namba za ajira zilitoka,na hakuna aloajiriwa isipokuwa walio kwenye ajira walirudishwa nyumbani.
Unafurahia TAMKO la ajira 52,000 wakat hata tangazo la kazi hujaliona,waraka hujauona,
Usiwaamini sana hao jamaa,kwa sababu leo hii wanakanusha kuwa hawakuahidi ELIMU BURE,ila waliahidi ELIMU BILA MALIPO wakat ni wao waliweka ELIMU BURE KWENYE ILANI.
Endelea kusubir lakini.
Elimu bure iwe elimu bila malipo zote ni dhana na zimefafanuliwa kipi ni kipi umekijua ni utekelezaji tu.
Dalili ya mvua ni mawingi na mvuvi hujiandaa akiwa nchi kavu. Na bora uamini Mungu yupo ukajiandaa kuliko kuamini hayupo na ukaenda ukamkuta huku hujajiandaa. Rudisha akili zako acha mkumbo.
 
Habari kubwa ya ajira 52,000 iliyojaa kurasa nzima hukuiona? Wendawazimu si mpaka uuvue nguo. Hata kung'ang'ania kufanya yasiyotija kwa muda mrefu.
Unampangia cha kupost!? Kwani Bando umemnunulia? Wendawazimu si mpaka uvue nguo. Hata kulazimisha watu kufikiri km ww nao ni UWENDAWAZIMU
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Unampangia cha kupost!? Kwani Bando umemnunulia? Wendawazimu si mpaka uvue nguo. Hata kulazimisha watu kufikiri km ww nao ni UWENDAWAZIMU
Masangumanonu gete gete. Geshagi nyo wako. Ndio maana hata wewe umeshangaa na kuja na utetezi. Akili ya kupenda mandeleo habari ni ajira. Na ile ya kupenda shari na misuguano, hiyo ndio habari
 
Masangumanonu gete gete. Geshagi nyo wako. Ndio maana hata wewe umeshangaa na kuja na utetezi. Akili ya kupenda mandeleo habari ni ajira. Na ile ya kupenda shari na misuguano, hiyo ndio habari
Brother.. Ukiisoma habari hiyo ndani ya gazeti hilo ni tofauti kabisa na kichwa cha habari kilichopo juu. Ndo maana mi naona sawa tuu avyoiacha na kuchagua nyingine.
 
Unampangia cha kupost!? Kwani Bando umemnunulia? Wendawazimu si mpaka uvue nguo. Hata kulazimisha watu kufikiri km ww nao ni UWENDAWAZIMU
Namwangalia tu huyo Msororo69 anataka asome anachokitaka yeye uatadhan amenunulia watu bando.
 
Brother.. Ukiisoma habari hiyo ndani ya gazeti hilo ni tofauti kabisa na kichwa cha habari kilichopo juu. Ndo maana mi naona sawa tuu avyoiacha na kuchagua nyingine.
Ndio habarri ilikuwa imebamba hata kama haikuandikwa vizuri utaitafuta kwingine au kwenye chanzo asili.
 
Mwakyembe ni mchumia tumbo bila ya fitna na kuzua uongo hawezi Ku survive kwenye siasa
 
Kwahio nyie chadema mnakubali kuwa Richmond haikuwa tatizo????

Maana naona mnakula matapishi yenu wakatu nyie ndio mlishinikiza hatua zichukuliwe dhidi ya wote waliosababisha....pia mlishinikiza Lowasa awajibike kisiasa...leo mbona mmekuwa vigeugeu????
Sidhani kama kuna anaeweza kupinga kuwa sakata LA Richmond halikuwepo. issue ni nani hasa alihusika na anastahili kunyooshewa kidole na ikiwezekana kuchukuliwa hatua. hakuna assiejuwa kuwa mikataba yote muhimi na mikubwa inapitishwa kwenye baraza LA mawaziri ambalo Mwenyekiti wake ni mkulu na Katibu ni PM hawa wrote ni macxm kama anavyowaita mh. Lissu. baada ya maamuzi halali kwa nn lawama ziende kwa Katibu badala ya kuona kuwa watawala wanaoebdelea kuo goza nchi hii wanatuingiza kwwnye mikataba ya hovyo kwa makusidi kwa maslahi yao binafsi. sio mmoja, wala miwili ni mikataba mingi kama sio yote
 
Back
Top Bottom