Kwahiyo chadema miaka yote nane walikuwa wanapika majungu kwa manufaa gani sasa?Hahaaaa,Richmond ilipikwa tu na wataalam wa majungu na fitna,yule mzee wa Tabora aliutaka uwaziri mkuu
Kwani kuhusu ajira hii mara yao ya 1?Habari kubwa ya ajira 52,000 iliyojaa kurasa nzima hukuiona? Wendawazimu si mpaka uuvue nguo. Hata kung'ang'ania kufanya yasiyotija kwa muda mrefu.
Si kama hivyo nimeandika ajira 1,333,333. Cha msingi ni kujuwa zipo kwenye nyanja ziti watu wajue na wapeane ujanja namna ya kufanikiwa kuzipata.Kwani kuhusu ajira hii mara yao ya 1?
Wewe unahadaiwa na takwim hizo?Hata wewe unaweza kutype 52,000
Umesahau tu,bunge la bajet ya 2016/17Si kama hivyo nimeandika ajira 1,333,333. Cha msingi ni kujuwa zipo kwenye nyanja ziti watu wajue na wapeane ujanja namna ya kufanikiwa kuzipata.
Haya hiyo Richmond iliyofanyiwa uamuzi inatija gani kwa taifa kwa sasa. Nyie ndio mkifika kwenye ajari huwa mnahangaika kubeba maiti na kuacha majeruhi ili muonekane mnao huruma. Richmond ni maiti na habari ya ajiri ni kama majeruhi hivyo ndio ya kujadiriwa kwanza watu wapeane ujanja. Pengine wewe cha uvivu au teja unao ujnja juu ya ajira fulani, ukiutoa utakuwa umemsadia mtu kupata ari ya kwenda kuiomba kazi husika.
CCM je?Richmond ni JK.
Anayetakiwa kwenda mahakamani si Mwakyembe bali ni Lowassa ,akadai kuchafuliwa jina hadi akajiuzuru kama kweli yeye ni msafi,haiwezekani wewe uitwe jambazi halafu ukae kimya tu kama kweli wewe sio jambaziMwakiembe kasema ana ushahidi juu ya ufisadi wa lowassa kwenye richmond.. je kwanini siku zote hajampeleka mahakamani ili hali pia ameshakuwa waziri wa sheria na katiba?? Badala yake anapiga maneno bungeni...
Hivi ushajiuliza kama kweli mh. mwak'embe ni mzalendo kwa nini wakati wa mjadala kuhusu Richmond hakutoa huu ushahidi anaojigamba anao kwa sasa?Anayetakiwa kwenda mahakamani si Mwakyembe bali ni Lowassa ,akadai kuchafuliwa jina hadi akajiuzuru kama kweli yeye ni msafi,haiwezekani wewe uitwe jambazi halafu ukae kimya tu kama kweli wewe sio jambazi
Elimu bure iwe elimu bila malipo zote ni dhana na zimefafanuliwa kipi ni kipi umekijua ni utekelezaji tu.Umesahau tu,bunge la bajet ya 2016/17
Namba za ajira zilitoka,na hakuna aloajiriwa isipokuwa walio kwenye ajira walirudishwa nyumbani.
Unafurahia TAMKO la ajira 52,000 wakat hata tangazo la kazi hujaliona,waraka hujauona,
Usiwaamini sana hao jamaa,kwa sababu leo hii wanakanusha kuwa hawakuahidi ELIMU BURE,ila waliahidi ELIMU BILA MALIPO wakat ni wao waliweka ELIMU BURE KWENYE ILANI.
Endelea kusubir lakini.
Unampangia cha kupost!? Kwani Bando umemnunulia? Wendawazimu si mpaka uvue nguo. Hata kulazimisha watu kufikiri km ww nao ni UWENDAWAZIMUHabari kubwa ya ajira 52,000 iliyojaa kurasa nzima hukuiona? Wendawazimu si mpaka uuvue nguo. Hata kung'ang'ania kufanya yasiyotija kwa muda mrefu.
Masangumanonu gete gete. Geshagi nyo wako. Ndio maana hata wewe umeshangaa na kuja na utetezi. Akili ya kupenda mandeleo habari ni ajira. Na ile ya kupenda shari na misuguano, hiyo ndio habariUnampangia cha kupost!? Kwani Bando umemnunulia? Wendawazimu si mpaka uvue nguo. Hata kulazimisha watu kufikiri km ww nao ni UWENDAWAZIMU
Brother.. Ukiisoma habari hiyo ndani ya gazeti hilo ni tofauti kabisa na kichwa cha habari kilichopo juu. Ndo maana mi naona sawa tuu avyoiacha na kuchagua nyingine.Masangumanonu gete gete. Geshagi nyo wako. Ndio maana hata wewe umeshangaa na kuja na utetezi. Akili ya kupenda mandeleo habari ni ajira. Na ile ya kupenda shari na misuguano, hiyo ndio habari
Ndio habarri ilikuwa imebamba hata kama haikuandikwa vizuri utaitafuta kwingine au kwenye chanzo asili.Brother.. Ukiisoma habari hiyo ndani ya gazeti hilo ni tofauti kabisa na kichwa cha habari kilichopo juu. Ndo maana mi naona sawa tuu avyoiacha na kuchagua nyingine.
Sidhani kama kuna anaeweza kupinga kuwa sakata LA Richmond halikuwepo. issue ni nani hasa alihusika na anastahili kunyooshewa kidole na ikiwezekana kuchukuliwa hatua. hakuna assiejuwa kuwa mikataba yote muhimi na mikubwa inapitishwa kwenye baraza LA mawaziri ambalo Mwenyekiti wake ni mkulu na Katibu ni PM hawa wrote ni macxm kama anavyowaita mh. Lissu. baada ya maamuzi halali kwa nn lawama ziende kwa Katibu badala ya kuona kuwa watawala wanaoebdelea kuo goza nchi hii wanatuingiza kwwnye mikataba ya hovyo kwa makusidi kwa maslahi yao binafsi. sio mmoja, wala miwili ni mikataba mingi kama sio yoteKwahio nyie chadema mnakubali kuwa Richmond haikuwa tatizo????
Maana naona mnakula matapishi yenu wakatu nyie ndio mlishinikiza hatua zichukuliwe dhidi ya wote waliosababisha....pia mlishinikiza Lowasa awajibike kisiasa...leo mbona mmekuwa vigeugeu????