Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

Huyu CK si alikuwa kigogo wa ikulu?waangalie tuu hata hapo bar anaweza kuwa kazini
 
Kweli naamini Wema ni balaaa. Ukiwa nazo unamchapa mpaka mboo itakatika, ukiachana naye lazima utalostika kinoma kasoro domobaya tu kwa sababu anakingwa na jadi analoendekeza mama yake ya kiha (hirizi, mboo ya kichanga, nywele za marehemu, etc.).


Invisible piga ban huyu, tumeshachoka matusi ya hawa walevi wa bangi.
 
Ha ha ha ha ha ha ha leo nicheke tu nitacomment siku nyingine lol
 
Hawa sijui makachero wa Shigongo watafute jina lingine aiseee ,
 
Hatareeeeee ama kweli kila mpanda ngazi husuka tusijikweze ilhal twajua any tyme twaweza kushuka
 
bha hahahaha hahaha kwa hiyo nikiwa na noti zangu naweza jipigia mzigo bwa hahaha
 
CK alimpeleka madame Dubai, walikaa kwenye hoteli ya nyota 5 na madame alikuwa anapost insta shopping zake kila siku, kuna kiatu alinunua $3,000.
 
Maisha ni kuchakarika, ukipata unazitumbua ukikosa unazitafuta uzitumbue tena...

Natumaini Sepenga na Kajala watakuwa wateja wake wakubwa
 
Shigongo ni taahira kabisa, hivi katika mambo yote ya kulisha akili za Mtanzania kaona hili linafaa.
Yaani akili ya Mtanzania inahitaji majungu na umbea tu.
Shigongo, kuna kitakachompata siku si nyingi
mbona shigongo hana tatizo?
Hii habari ina mafunzo sana ndani yake
 
Hapo ndiyo hatoki tena...

Kuwa na mamilioni, kuporomka hadi kuanza kuuza mishikaki ya jero jero... hapana aisee..
 
hawa jamaa kumbe mabwe.ge namna hii? sasa kuuza mishkaki kuna ajabu gani? au ndo wanafurahi kuona mtu karosti? us3n93 mtupu.
 
hawa jamaa kumbe mabwe.ge namna hii? sasa kuuza mishkaki kuna ajabu gani? au ndo wanafurahi kuona mtu karosti? us3n93 mtupu.
Ajabu siyo kuuza mishikaki. Watu wengi wanauza mishkaki. Lakini bila shaka ni ajabu mtu kutoka kuhonga mwanamke mamilioni hadi kufanya biashara ya mishkaki, biashara ambayo mtaji haufiki hata laki 2. Ina maana ameishiwa hela kiasi cha kushindwa biashara kubwa kidogo? Huo siyo mfano mzuri katika jamii. Yaani leo una hela, kesho unahangaika
 
Ina maana watu wasijitafutie kipato halali?mshikaki mmoja sh 2000 mbona asimseme bakhresa anayeuza nyanya nazi chapati ice cream?vya sh 300
Huyo Bakhressa unayemlinganisha naye anauza hizo nazi mikoa mingapi? Na huyo CK anauza hiyo mishikaki mikoa mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…