Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

Kigogo wa Wema anaswa akiuza Mishikaki

I earn a living through kuchoma ndizi
What's the problem with kuchoma mishkaki?
I earn a living through kuchoma ndizi
What's the problem with kuchoma mishkaki?
Kuna kosa gani mtu kuuza mishkaki?
Shingo mbona hamuandikagi mamake au mkewe au dada zake?

Tangu 2006-to date,ten years jamaa hajawahi ruka hata week moja kumuandika Wema.Hata kama yeye anapenda sio kiasi hiki.Sometimes i feel pity on her.

Na huyo Sikei mwacheni,Mwanadamu hutereza especially kidume utazibua hata mitaro ili mradi usiwe punga tu.
Kuna kosa gani mtu kuuza mishkaki?
Kuuza mishkaki sio kosa bali kosa ni kuhonga pesa zako zote ambazo ungeweza kuzifanya mtaji ukafungua biashara kubwa zaidi ya hiyo ya mishkaki
 
Kama makosa yameshatokea na ameshakosea.

Hii simulizi ni nzuri kwa sababu inatufundisha tusijisahau na tunapopata Mali tusikimbilie kwa wanawake Malaya au tusizitumie pesa zetu kwa uzinzi.

Lakini fundisho lingine ni kwamba yatupasa tujikibali kwani kufilisika sio mwisho wa maisha.
 
Umbeya ni uswahili wa kipumbavu. Kuuza mishikaki ni kosa? Mada za kijuha!
Hii mada si ya kijuha kuna funzo kubwa sana linapatika hapa, watu aina ya CK wapo wengi sana kitaani wanapata pesa wanazichezea mwisho Wa siku wanarudi chini kuanza upya. Kama vijana tunatakiwa kujifunza namna gani tuishi pindi tunapozikamata pesa.
 
Ina maana watu wasijitafutie kipato halali?mshikaki mmoja sh 2000 mbona asimseme bakhresa anayeuza nyanya nazi chapati ice cream?vya sh 300
 
well done ck ubitoz tupa kuleeeeeeeeeeeeeee piga kazi maaana ukikosa kaz unaweza kuolewa mjini humu
 
Kama ni bar yake tatizo lipo wapi?
Na kwenye maisha kuna kupanda na kushuka
 
Nadhani kikubwa hapa ni MORAL OF THE STORY....labda heading ndio inakwaza (of coz hata mimi hainivutii) kwani kuuza mishikaki ni shughuli halali ya kujipatia kipato, ingawa kwa CK alipaswa kuwa ameshavuka level hizo....

Labda mngeandika "Tukipata pesa tuangalie leo na kesho" au "Yule kigogo wa Wema akumbuka shuka kukiwa kumeshakucha"

So pamoja na kung'aka hebu tupate hilo somo kuwa kutumia sehemu kubwa ya mapato yako kwa kina dada usio na mustakabali nao si busara hata kidogo.

Ni familia gani itaunga mkono kuona/kusikia kuwa Baba alikuwa na uwezo wa kuwekeza kwenye miradi mikubwa lakini akaishia kuwekeza kwenye K?

Ni mwanaume gani anataka kufuata nyayo za mtu kama CK, ya kuhonga pesa hovyo......labda hata ndio iliyopelekea ofisi yake kumchunguza na kumtia hatiani.

Taarifa hii ni muhimu sana na hata inafaa kutumika Mashuleni.
 
Wanaume?! utakuta sasa ndio kila saa simu kwa mkewe, baby umekula? Nikurushie vocha? Vipi umeenda saloon?! Mke wangu na leo nikuletee chips kuku? Nyoo wakati ule wa kula KILIMANJARO KEMPISK anaenda na Wema na Kajala. Ila bora kajiongeza kuliko angegeuka omba omba kwa ndugu na jamaa.
 
Jamaa CK ni mfano wa Kuigwa na jamii ya wapenda maendeleo.......
Yuko FLEXIBLE kinoma, piga hela mkuu....wewe ni MJASIRIAMALI wa ukweli.....
Bwege ni huyo aonaye KUCHOMA MISHIKAKI ni dhambi.....
 
Sema sasa Wema naye awe muungwana, hawezi kurudisha pesa lakini atumie nafasi yake kwenye social media, ahakikishe anairusha hiyo joint ya mshikaji mpaka iwe habari ya mujini, mshikaji apige pesa.
 
Sijui watu wengine wanajua wazee wao walianzia wapi au wao walianzia wapi mpaka wamefikia walipo?
ange uza Sembe ndio ningeona issue lakini mishkaki hata auze samaki as long as anaji shughulisha ni sawa tuu..
 
Kuchoma mishkaki ni njia halali kabisa ya kujipatia kipato, hiyo ni mitihani tu ya maisha!
 
Ningekuwa mimi ningewashtaki kwa kunipiga picha bila ridhaa yangu kisha kuitumia kwenye Public ili kijipatia kipato, pili, hawa wapuuzio wanarudisha nyuma sana watu, hivi kuna ubaya gani kuuza mishkaki? Ni dhambi? Hapa ndipo tunapokesea kuwaona Wauza mishkaki ni Watu wa chini, kwa Taarifa yako, huyo Muuza mishkaki na chips na soada ana-make kupita kiasi ukilinganisha na hao waandishi uchwara wa haya magazeti. He can make Zaidi ya laki na kidogo faida kwa siku ambapo monthly huweza kufika kwa 2m na point, leo hii ni wangapi waliojariwa wanalipwa hio amount?? Tuache unafiki na kujiona tuko juu
 
Ina maana watu wasijitafutie kipato halali?mshikaki mmoja sh 2000 mbona asimseme bakhresa anayeuza nyanya nazi chapati ice cream?vya sh 300
I bet to say you are nothing in your head.Comparing CK to Bakhresa who sells In Bulks...small.small things in Quantity.... How can you say that???go back to school.
 
Back
Top Bottom