Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Kuuza mishkaki hakuna ubaya wowote ila anguko la ghafla la MUUZAJI kutoka kwenye kuhonga na kuchezea mamilioni leo ana tafuta elfu ndio linalo shangaza.Kuuza mishkaki kuna ubaya gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuza mishkaki hakuna ubaya wowote ila anguko la ghafla la MUUZAJI kutoka kwenye kuhonga na kuchezea mamilioni leo ana tafuta elfu ndio linalo shangaza.Kuuza mishkaki kuna ubaya gani?
I earn a living through kuchoma ndizi
What's the problem with kuchoma mishkaki?
I earn a living through kuchoma ndizi
What's the problem with kuchoma mishkaki?
Kuna kosa gani mtu kuuza mishkaki?
Shingo mbona hamuandikagi mamake au mkewe au dada zake?
Tangu 2006-to date,ten years jamaa hajawahi ruka hata week moja kumuandika Wema.Hata kama yeye anapenda sio kiasi hiki.Sometimes i feel pity on her.
Na huyo Sikei mwacheni,Mwanadamu hutereza especially kidume utazibua hata mitaro ili mradi usiwe punga tu.
Kuuza mishkaki sio kosa bali kosa ni kuhonga pesa zako zote ambazo ungeweza kuzifanya mtaji ukafungua biashara kubwa zaidi ya hiyo ya mishkakiKuna kosa gani mtu kuuza mishkaki?
Hii mada si ya kijuha kuna funzo kubwa sana linapatika hapa, watu aina ya CK wapo wengi sana kitaani wanapata pesa wanazichezea mwisho Wa siku wanarudi chini kuanza upya. Kama vijana tunatakiwa kujifunza namna gani tuishi pindi tunapozikamata pesa.Umbeya ni uswahili wa kipumbavu. Kuuza mishikaki ni kosa? Mada za kijuha!
Dau akifungua kijiwe cha mihogo ya kuchoma naomba mnistue plz
Mkuu nimechaka kwa sauti sana,,MziziMkavu, hebu ya Ngoswe tumuachie Ngoswe, wewe njoo utufundishe lishe njema, tiba za magonjwa mbalimbali nk.
Hayo mambo ya kuwajadili watu muachie Madame B na kundi lake.
Kama tumekosa kabisa vya kujadili tukae kimya mzee mwenzangu
I bet to say you are nothing in your head.Comparing CK to Bakhresa who sells In Bulks...small.small things in Quantity.... How can you say that???go back to school.Ina maana watu wasijitafutie kipato halali?mshikaki mmoja sh 2000 mbona asimseme bakhresa anayeuza nyanya nazi chapati ice cream?vya sh 300