Kigogo yupi kati ya Azam, Simba na Yanga kuanza kuaga kombe la FA?

Vipi swali bado linaendelea au lisha expire? Ila Mimi ninavyoamini Simba yenye Clatous Chota Chama "triple C" haiwezi kutolewa kama wewe mleta mada unavyotaka. Kwa taarifa yako hakuna timu yenye kikosi kipana kama Simba Sports Club. Simba itabeba hii ndoo hadi mjinyonge. Na mwaka huu ninyi YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB " The Citizen Team" mlie tu. Mnyama chini ya mwamba Wa Lusaka anaanza kuchukua FA kwanza kisha na vingine vyote.
 
Hakuna Young Africans Football Club. Sports Club ipo na ndiyo Yanga.
 
Hivi wamekubali kufungwa na Mashujaa bila kutinga FIFA kukata rufaa?
Hii itakuwa maajabu ya kufungia mwaka. Yaani waifunge Nkana, halafu wafungwe na Mashujaa? Kama si njama ni nini?
Hodi hodi FIFA
 
Hakuna Young Africans Football Club. Sports Club ipo na ndiyo Yanga.
Mimi huwa napenda kuiita hivyo kwa sababu ndio uhalisia japo wamesajiliwa kwa sports club. Hata simba kiuhalisia inapaswa iwe football club. Hizi timu hata sports centers hazina halafu wameziita sports club wakati zinajihusisha na mpira Wa miguu pekee.
 
Hivi wamekubali kufungwa na Mashujaa bila kutinga FIFA kukata rufaa?
Hii itakuwa maajabu ya kufungia mwaka. Yaani waifunge Nkana, halafu wafungwe na Mashujaa? Kama si njama ni nini?
Hodi hodi FIFA
Mi nahisi kuongezewa dakika nyingi za kucheza mechi ni sehemu ya rufaa labda hapa tuseme rufaa ya kucheza dakika nyingi ilikataliwa na mashujaa
 
N
Nitake radhi mkuu
Mi ni Simba damu nimeumia sn kwa matokeo ya jana
 
Hivi wamekubali kufungwa na Mashujaa bila kutinga FIFA kukata rufaa?
Hii itakuwa maajabu ya kufungia mwaka. Yaani waifunge Nkana, halafu wafungwe na Mashujaa? Kama si njama ni nini?
Hodi hodi FIFA
Wewe jamaa jiandae kuama jukwaa siku ombaomba wakifungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…