- Thread starter
- #21
Hata Yanga wataaga tuKiongozi, punguza ukali wa maneno!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Yanga wataaga tuKiongozi, punguza ukali wa maneno!
Hata Yanga watapanuliwa tuKikosi Kipana Kimepanuliwa
Bazazi
Tusubiri. Juzi Haji kasema Simba itabeba makombe yoteHata Yanga wataaga tu
So sad ila ndio mpira huoWameshaaga mkuu
Soma kwenye ramani!Injinia soma hapo ngapi
#Mwidiwe baba
Wanaucheza zaidi mdomoni mwa Haji.Wameshaaga mkuu
Hakuna Young Africans Football Club. Sports Club ipo na ndiyo Yanga.Vipi swali bado linaendelea au lisha expire? Ila Mimi ninavyoamini Simba yenye Clatous Chota Chama "triple C" haiwezi kutolewa kama wewe mleta mada unavyotaka. Kwa taarifa yako hakuna timu yenye kikosi kipana kama Simba Sports Club. Simba itabeba hii ndoo hadi mjinyonge. Na mwaka huu ninyi YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB " The Citizen Team" mlie tu. Mnyama chini ya mwamba Wa Lusaka anaanza kuchukua FA kwanza kisha na vingine vyote.
AMESHAANZA SIMBAKichwa cha uzi chahusika. Mi naona Simba itaanza japo ndio timu yangu
Mh. Rais Wa JMT alisema simba imetobolewa tundu. Kwa hyo Siku hzi washabiki Wa simba na wachezaji + viongozi wao wako wazi tu unaweza pita tu bila kubisha hodiKiongozi, punguza ukali wa maneno!
Mimi huwa napenda kuiita hivyo kwa sababu ndio uhalisia japo wamesajiliwa kwa sports club. Hata simba kiuhalisia inapaswa iwe football club. Hizi timu hata sports centers hazina halafu wameziita sports club wakati zinajihusisha na mpira Wa miguu pekee.Hakuna Young Africans Football Club. Sports Club ipo na ndiyo Yanga.
Manara wao atoe ufafanuzi hayo makombe ni yapi?Tusubiri. Juzi Haji kasema Simba itabeba makombe yote
Mi nahisi kuongezewa dakika nyingi za kucheza mechi ni sehemu ya rufaa labda hapa tuseme rufaa ya kucheza dakika nyingi ilikataliwa na mashujaaHivi wamekubali kufungwa na Mashujaa bila kutinga FIFA kukata rufaa?
Hii itakuwa maajabu ya kufungia mwaka. Yaani waifunge Nkana, halafu wafungwe na Mashujaa? Kama si njama ni nini?
Hodi hodi FIFA
Usisahau na Asha BarakaTimu kutoka Kigoma!
Kaduguda anatoka Kigoma!
Nitake radhi mkuuVipi swali bado linaendelea au lisha expire? Ila Mimi ninavyoamini Simba yenye Clatous Chota Chama "triple C" haiwezi kutolewa kama wewe mleta mada unavyotaka. Kwa taarifa yako hakuna timu yenye kikosi kipana kama Simba Sports Club. Simba itabeba hii ndoo hadi mjinyonge. Na mwaka huu ninyi YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB " The Citizen Team" mlie tu. Mnyama chini ya mwamba Wa Lusaka anaanza kuchukua FA kwanza kisha na vingine vyote.
Wewe jamaa jiandae kuama jukwaa siku ombaomba wakifungwaHivi wamekubali kufungwa na Mashujaa bila kutinga FIFA kukata rufaa?
Hii itakuwa maajabu ya kufungia mwaka. Yaani waifunge Nkana, halafu wafungwe na Mashujaa? Kama si njama ni nini?
Hodi hodi FIFA