Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Dec 27, 2018 #41 brave one said: Wewe jamaa jiandae kuama jukwaa siku ombaomba wakifungwa Click to expand... Nihame ili iweje kwa mfano? Yanga ilichukua ubingwa three consecutive years. Mwaka huu mmechukua nyie bado sijahama. Kipi kunihamishe?
brave one said: Wewe jamaa jiandae kuama jukwaa siku ombaomba wakifungwa Click to expand... Nihame ili iweje kwa mfano? Yanga ilichukua ubingwa three consecutive years. Mwaka huu mmechukua nyie bado sijahama. Kipi kunihamishe?
brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,386 Dec 27, 2018 #42 Sibonike said: Nihame ili iweje kwa mfano? Yanga ilichukua ubingwa three consecutive years. Mwaka huu mmechukua nyie bado sijahama. Kipi kunihamishe? Click to expand... Kitakacho kuamisha Simba kuchukua ubingwa wa Africa mbele ya Raja Casablanca na Esperiense ya Tunisia Jukwaa litatekwa na wagiriki kutoka msimbazi
Sibonike said: Nihame ili iweje kwa mfano? Yanga ilichukua ubingwa three consecutive years. Mwaka huu mmechukua nyie bado sijahama. Kipi kunihamishe? Click to expand... Kitakacho kuamisha Simba kuchukua ubingwa wa Africa mbele ya Raja Casablanca na Esperiense ya Tunisia Jukwaa litatekwa na wagiriki kutoka msimbazi
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Dec 28, 2018 #43 brave one said: Kitakacho kuamisha Simba kuchukua ubingwa wa Africa mbele ya Raja Casablanca na Esperiense ya Tunisia Jukwaa litatekwa na wagiriki kutoka msimbazi Click to expand... Mngemfunga kwanza Mashujaa ndio ningeamini hizi sio porojo kama za Manara
brave one said: Kitakacho kuamisha Simba kuchukua ubingwa wa Africa mbele ya Raja Casablanca na Esperiense ya Tunisia Jukwaa litatekwa na wagiriki kutoka msimbazi Click to expand... Mngemfunga kwanza Mashujaa ndio ningeamini hizi sio porojo kama za Manara
G gpluse JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 654 Reaction score 852 Dec 28, 2018 #44 Injinia soma hapo ngapi. Mwidiwe baba Tulidiwe eh muhabho ni mpole se
K Kizibo255 JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 515 Reaction score 376 Dec 29, 2018 Thread starter #45 Leo tena Tunaendelea kuwaombea mabaya watani wetu