Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Nihame ili iweje kwa mfano?Wewe jamaa jiandae kuama jukwaa siku ombaomba wakifungwa
Yanga ilichukua ubingwa three consecutive years. Mwaka huu mmechukua nyie bado sijahama. Kipi kunihamishe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nihame ili iweje kwa mfano?Wewe jamaa jiandae kuama jukwaa siku ombaomba wakifungwa
Kitakacho kuamisha Simba kuchukua ubingwa wa Africa mbele ya Raja Casablanca na Esperiense ya TunisiaNihame ili iweje kwa mfano?
Yanga ilichukua ubingwa three consecutive years. Mwaka huu mmechukua nyie bado sijahama. Kipi kunihamishe?
Mngemfunga kwanza Mashujaa ndio ningeamini hizi sio porojo kama za ManaraKitakacho kuamisha Simba kuchukua ubingwa wa Africa mbele ya Raja Casablanca na Esperiense ya Tunisia
Jukwaa litatekwa na wagiriki kutoka msimbazi