LGE2024 Kigoma: Afande akirekodi matukio kwenye Kampeni za ACT Wazalendo, Mkutano wa Zitto Kabwe

LGE2024 Kigoma: Afande akirekodi matukio kwenye Kampeni za ACT Wazalendo, Mkutano wa Zitto Kabwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Novemba 23, 2024
IMG_0898.jpeg
IMG_0899.jpeg
IMG_0900.jpeg
 
Hiyo ni kawaida mkuu.

Baada ya malalamiko ya upinzani kuwa mengi jeshi la polisi walianza kuwa wanarekodi wenyewe.
 
Hapo alikuwa anakusanya ushahidi wa kumtengenezea kosa la jinai
 
Sioni kama kunashida je kama zitto alimwambia nipige picha kwenye simu yangu?
 
Back
Top Bottom