Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkutano wanini wamwaka gani na kampeni gani?Wakuu
Afisa wa jeshi la polisi akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Novemba 23, 2024
View attachment 3160231View attachment 3160232View attachment 3160233
Bila shaka ilikuŵa inatafutwa kesi ua kuunda hapoBadala ya kujikita kwenye jukumu lake kuu na la msingi! Yeye anafanya kitu cha tofauti kabisa!!
😂😂😂😂wanarekodi usifikiri wana nia njema. wanamtega aropoke la kukera watawala wamalizane nae
Siyo kazi yake hiyoAisee sijaonan tatizo mbona hata hizi kampeni za serikali za mitaa wanakuja polisi kata wanarekodi wanasepa
Anataka arushe jf, hujui pengine ni member humu.Badala ya kujikita kwenye jukumu lake kuu na la msingi! Yeye anafanya kitu cha tofauti kabisa!!
Huyo ni UVCCM kavaa nguo za jeshiSiyo kazi yake hiyo
Hata Ulaya askari hawatazami mpira Bali huwatazama watazamaji wahalifu
Wanatafuta namna ya kukamata CHADEMA hapo ni maigizo ionekane ni kawaida kurecordwanarekodi usifikiri wana nia njema. wanamtega aropoke la kukera watawala wamalizane nae
Up 2045Huyo babu atastaafu lini?