Kigoma: Askari adaiwa kumpiga risasi Mfugaji akidhani ni mwizi wa mifugo kigoma

Kigoma: Askari adaiwa kumpiga risasi Mfugaji akidhani ni mwizi wa mifugo kigoma

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Inasikitisha sana haya mambo nilizoe kuaangalia KBC Kenya sasa yameanza na 🇹🇿

Askari mmoja amempiga kwa bahati mbaya mfugaji akidhania mwizi wa mifugo. Askari huyo alihoji kibali cha serikl za mitaa akaonyeshwa akuishia hapo akataka hongo aruhusu mifugo kuelekea kuuzwa akajibiwa hana hela

Akampiga risasi mfugaji na sasa yuko Kigoma hospitali. Kwa mujibu wa dk wa hospt alipolazwa mgonjwa mguuwake mifupa imesagika kabisa na anatakiwa akakatwe .Mguu

Sasa sijui huyu tunamfanyaje

Nimeona post moja askari na DAS wamemsweka mtu ndan bila Kosa.

Sasa huyu naye anarudia ujinga ule ule na kwenda mbali zaidi kupiga risasi

Alipohijiwa aliomba radhi na akusema hakuona kibali

Hata hivyo Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa amekiri kusaini kibali cha mfugaji na kumkabidhi

Hata alipokuwa akienda mnadani alipita kwake anashangaa iweje hana kibali

Hizi kazi mnalogwa ama mna mapepo yanawakumbusha nendeni kafanyeni maajabu

Hope kamanda wa Kigoma utalifanyia kazi
 
ilkbla ya kuwekwa ndani wananchi wampige mawe kwa saa 3 bila kupumzika
 
Back
Top Bottom