Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Team,
Salaàm!
Mimi ni mtafiti mbobezi. Nimefanya hojaji na wanacdm wasiopungua 21
* 19 wamesema wanapenda TAL awe Mwenyekiti wao mpya;
* 01 amesema yeyote atakayechaguli kati ya wagombea watatu;
* 01 wagombea wote hawafai kwa kuwa kwa miaka takribani 5 inayoisha kulikuwa na migogoro mingi ndani ya CDM lkn hakuna aliyeinuka kushughulikia kupitia mikutano na vikao vya Kisheria vya CDM.
Nikirudi ktk agenda ya ninani awezaye kushinda Odds zinambeba TAL
Ushauri:-
SIKU kadhaa zilizobaki kabla ya uchaguzi kufanyika ndani ya CDM FAM ajitathmini na pengine kuchukua maamuzi magumu.
Ikumbukwe kuwa hatakuwa kiongozi wa kwanza kufanya hivyo (Joe Biden) hivi karibuni alikubali kujiondoa kama mgombea na maisha yanaenda.
Nawasilisha