figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Gari za UNHCR zitauzwa Kwa mnada kibondo Kigoma tarehe 28/2/2026 kuanzia Saa 3 asubuhi.
Hizo ni gari za kazi. Kununua hio uendee kazini ni uharibifu wa rasilimali.Hapo jamaa wa utalii kutoka arusha na moshi ndio watazibeba zote
Ngoja nijiandae kwenda kuharibu mnada kama alivyofanya dr Luis ShikaGari za UNHCR zitauzwa Kwa mnada kibondo Kigoma tarehe 28/2/2026 kuanzia Saa 3 asubuhi.
View attachment 3547445View attachment 3547446
Hii ndiyo bongo wajamani!Hizo tayali zinawenyewe.
Mnada ni kutimiza wajibu tu.