Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Akili za watu wa kigoma bwana sasa ndo fahari gani hiyo?...nonsenseHakika wana-Kigoma tunajisikia kubwa fahari kupata bahati yaKiongozi Makini na mwenye uzoefu wa kutosha katika medani za usalama na Diplomasia.
NB: Kigoma hatuna deni.
Lucas Mwashambwa
Pascal Mayalla
Tulikosea sana tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taalumaHakika wana-Kigoma tunajisikia kubwa fahari kupata bahati yaKiongozi Makini na mwenye uzoefu wa kutosha katika medani za usalama na Diplomasia.
NB: Kigoma hatuna deni.
Lucas Mwashambwa
Pascal Mayalla
Waha wana upara au sio 😁Akili ni nywele
Kuna nywele na vikinga ngozi ya kichwa, usikute wana vikinga ngozi ya kichwa tu, sasa mtu nywele kama mkutano wa nzi... 🤣😂😂Waha wana upara au sio 😁
Tatizo njaa imehamia kichwani hatuko tayari kusema ukweli tunabakia kusifiwa tu ilimradi ujipendekeze mkono uende kinywani.Tulikosea sana tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma
Kigoma kaenda ki mkakati.Hakika wana-Kigoma tunajisikia kubwa fahari kupata bahati yaKiongozi Makini na mwenye uzoefu wa kutosha katika medani za usalama na Diplomasia.
NB: Kigoma hatuna deni.
Lucas Mwashambwa
Pascal Mayalla
Fahari ya moyoFahari gani ??