Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Aha, hagombegwa mugamb'Igiha gusa, none mulatelany'Indimi, Ikingereza, Igiswahili, Igiha zose zil'aha, mwemwe mul'Abhaha nyabhaki mutamenya kugamb'Igiha?Nilimo! nilipata mchumba wa kutoka Manyovu kijiji cha Mukigo, baadae tuka differ hahahahahaha
Raimundo njoo unitafsirie please!Aha, hagombegwa mugamb'Igiha gusa, none mulatelany'Indimi, Ikingereza, Igiswahili, Igiha zose zil'aha, mwemwe mul'Abha nyabhaki mutamenya kugamb'Igiha?
Haliho Igiha cha Gakonko, cha Kibhondo, cha mabhamba gitelanyije mwo ni kirundi, ch'Iheru, Ch'amaeneo ya Bhasanza, ni cha Kigoma mjini, lakini zose ntimuzimenya!
Muze ngaha ndabhabwilize
Tangu zamani kabla ya Chato kupaishwa Nyakanazi iko B'mloBaada ya kuifanya Geita kuwa mkoa nadhani pia Nyakanazi inaangukia huko, na ni jimbo la Chato.
Nipo hapa Kibondo sekondari ila huko ndio nyumbani.Masikhara shemeji, we ni wa nyumbani kweli!
Shemeji mimi siku zote najua uko Mwanza, kumbe ni wa nyumbani?
we, unasemaje kweli?Nipo hapa Kibondo sekondari ila huko ndio nyumbani.
Nipo hapa Kibondo sekondari ila huko ndio nyumbani.
Tangu zamani kabla ya Chato kupaishwa Nyakanazi iko B'mlo
Yeah!! Mie ni mwalimu hapa Kibondo sec.we, unasemaje kweli?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sema tu shemeji[emoji85] [emoji85]
Sema hawala bwana[emoji85] [emoji85]Kibondo secondary alisomaga mchumba wangu mmoja hivi wa enzi hizo, nimetuma sana barua PO Box 180 Kibondo.
Sema hawala bwana[emoji85] [emoji85]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hawala siyo zuri bana, wakati tulikuwa tunapendana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwani mkipendana ndio jina linabadilika?