Kigoma JF users connect

Kigoma JF users connect

Mie nikinyimwa nabaka shemeji, sitakagi ujinga kwenye kunyimwa.

Shemeji unajua ninyi mmependelewa na mfumo wa kimahakama, sisi tunaambiwa hata wake zetu hatutakiwi kuwalazimisha tutaozea jela.
 
Kwakweli hata mimi akinilazimisha namshitaki. Shikamoo sheria, hivi unaanzaje kwenda kumshtaki mwanamke!!
 
Buzebazeba, kazaroho, Rutale, Rubuga, kagera, kasingirima, sokokubwa, kwa noti, majengo, cine Atlas Makondeko Hahaha, kipampa, shirika burega, maweni........ Nimeimiss Lwama.
 
Natokea mtaa wa simu,,mwanga...
Au pia mtaa wa shauri moyo mwanga..japo sikai hukoo[emoji4][emoji4]
 
kigoma nimekaa enzi za aifola mwenda salama kule beach nyuma ya hospital ya mkoa Maweni na Mbunge wetu Aman Waldi Kabourou,,

enzi Haice zinaitwa hiyasi na umeme niwamgao generator kule Magereza,Nimekaa kigoma

enzi bwawa la katubuka tunavua samaki na kitimoto tunanunua kilo moja sh 400 kwa jamaa mmoja anaitwa sokolo pale katubuka ,

enzi hizo story kubwa ni za Bunjumbura na zaire ,

Enzi hizo nyimbo za kizairwa kama yondo sista shimita aalus mabele na kanda bongo man ndio habari ya mjini.

Enzi samaki huwezi kuuziwa kwa kilo ila kwa mafungu samaki watano sh 200 na nyongeza,

Kigoma ninayoijua mimi ni ile mitaa ya kilimahewa na mjimwema ni ya kishua sana hukatizi ovyo mbwa wakali kila kona.

kigoma ile ya Cine atras na Bahama Ujiji tunaenda kucheck video unatoa sh 20 unaangalia movie mbili ya Kihindi na ya kizungu plus trailor la mziki wa Wenge BDBG

kigoma Ni noma Bana napamiss sana nasikia saizi kumekua kama dar es salaam vurugu nyingi
We Kweli ni mzawa wa kigoma
 
Aifoola Aifoola, aifola mwenda salama, kidudu chamfata Nani, chamfuata mwenda salama...... Hahahaha kigoooooooooooooomaaaa
 
Back
Top Bottom