Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakati wakitekeleza tukio la utekaji na uporaji wa zana za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. https://t.co/I4edd1kmZFView attachment 2051565
Magaidi lazima yawachukie polisiHawa waliopotelea na kina Ben, Lijenje na wenzao kusikojulikana wenye uthubutu wa kuendelea kuwaamini ni nyie tu.
Magaidi lazima yawachukie polisi
Kawe polisi halafu ukutane na tukiopolisi waonevu sana wamewaua hao watu bila hatia
Siwamini polisi wa Tanzania.Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakati wakitekeleza tukio la utekaji na uporaji wa zana za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. https://t.co/I4edd1kmZFView attachment 2051565
Amen, amen, amen.Magaidi yanapojiita polisi.
Wapumzike kwa amani:
1. Wapumzike wafanya biashara wa madini wa Ifakara.
2. Wapumzike kwa amani waliopotelea mikononi mwa polisi
3. Apumzike kwa amani Hamza Mrefu.
4. Wapumzike kwa amani wote walioporwa roho zao kwenye dhuluma lukuki za namna hii.
wewe huijui kigoma, warundi wamezagaa huku na masilaha kibaopolisi waonevu sana wamewaua hao watu bila hatia
Na wapumzike kwa amani polisi wote waliotangulia mbele za haki wakitekeleza majukumu yao kukulinda wewe pamoja na raia wengine woteMagaidi yanapojiita polisi.
Wapumzike kwa amani:
1. Wapumzike wafanya biashara wa madini wa Ifakara.
2. Wapumzike kwa amani waliopotelea mikononi mwa polisi
3. Apumzike kwa amani Hamza Mrefu.
4. Wapumzike kwa amani wote walioporwa roho zao kwenye dhuluma lukuki za namna hii.
Na wapumzike kwa amani polisi wote waliotangulia mbele za haki wakitekeleza majukumu yao kukulinda wewe pamoja na raia wengine wote
Yuko behind barsHivi Zombe yuko wapi?