Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Sizani kigoma kuna sehemu ya kuitwa mjini.........anyway nenda pale bulombola
Hujawahi kufika kigoma mkuu au waliokupeleka walikushushia bulombola ukaambiwa ndio kigoma yote hiyo[emoji23]. Kwa kifupi kigoma mjini ndio kuzuri ila huko kwingine kasuru,kibondo nk ni kubaya na unafika umelowa vumbi
Nimeishi kigoma miaka kama 4, ni kuzuri hasa hizo sehemu za beach ukienda ka jioni fulani hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam
 


 
Kuliko kuosha macho tu peke yake si ungeoga tu mwili mzima nadhani ungetafuta car wash nzuri pale town
Atafute sabuni tu maji ya bure ziwa tanganyika aoge mwili mzima [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…