Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Muwe mnaweka na sifa wakuu
Wewe sifa za sehemu unayotaka umeweka? Anyways ni sehemu zinapatikana huduma nyingi kama vyakula, vinywaji, pia pana night club kwa usiku nilikuwa napendelea kukaa kwenye kighorofa huku nikienjoy mandhali ya ziwa Tanganyika vile viboti na mitumbwi vinavyokatiza katiza.
 
Hapa sawa mkuu
 
Phaller wewe roho chafu
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Hahaha nimekuweza mkuu
 
Nipo Kigoma mjini kikazi kwa wiki moja,
Naomba kufahamu ni wapi panafaa kuosha macho wakuu.
Pawe sehemu tulivu na iliyostaarabika na pa kupaha macho..
Hahaha najua nimeeleweka.
@
Kuna kiwanja kimoja kiko karibu na ulipo Ubalozi mdogo wa Burundi pazuri sana kuna live band mtu na mkewe safi kabisa..

Sehemu nyingine ni hapo hapo ukishuka mteremko hivi kama unatokea kwa mchaga sasa kabla hujafika stesheni karibu na ofisi za posta kuna maeneo ya bata hapo hasa mida ya usiku sana panapendeza..
 
Wallet nini mkuu? Japo sipo na mke
 
Back
Top Bottom