Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,524
- 5,731
Wewe sifa za sehemu unayotaka umeweka? Anyways ni sehemu zinapatikana huduma nyingi kama vyakula, vinywaji, pia pana night club kwa usiku nilikuwa napendelea kukaa kwenye kighorofa huku nikienjoy mandhali ya ziwa Tanganyika vile viboti na mitumbwi vinavyokatiza katiza.Muwe mnaweka na sifa wakuu