Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Ujiji kila siku asubuhi ukitembea unakuta njiani nazi na madawa ya kienyeji. Sio kwamba naongeza chumvi ila ni kila siku lazima ukute hivo vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli mkuu!!
Embu taja ujiji sehemu gani?
Maana ujiji kubwa, mfano buzebaze, vamia, majengo, kitongoni, rutale, bimala au katonyanga?
 
Si kweli mkuu!!
Embu taja ujiji sehemu gani?
Maana ujiji kubwa, mfano buzebaze, vamia, majengo, kitongoni, rutale, bimala au katonyanga?
Nimekaa pale Met miaka zaidi ya 4. Ukianzia Met nenda mpaka buzebazeba then nyooka hadi kule msikiti wa swahibu zamani kwa mbele kule. Njia za karibu na Ahlulbayt pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa pale Met miaka zaidi ya 4. Ukianzia Met nenda mpaka buzebazeba then nyooka hadi kule msikiti wa swahibu zamani kwa mbele kule. Njia za karibu na Ahlulbayt pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Ayo mambo ya kuvunja nazi et kila siku mkuu naendelea kupiga atlist ungesema kipindi cha uchaguzi ningeunga mkono, uko met kote napapata inshort ujiji naifahamu vizur
 
Ayo mambo ya kuvunja nazi et kila siku mkuu naendelea kupiga atlist ungesema kipindi cha uchaguzi ningeunga mkono, uko met kote napapata inshort ujiji naifahamu vizur
Mkuu. Sawa tu kama unapinga. Ila hiyo ni personal observation yangu, hicho ndicho nilichokiona na sina sababu ya kudanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Kigoma mjini kikazi kwa wiki moja,
Naomba kufahamu ni wapi panafaa kuosha macho wakuu.
Pawe sehemu tulivu na iliyostaarabika na pa kupaha macho..
Hahaha najua nimeeleweka.
@

Chukua boda uje kidiama nipo hapa kuna party wanakaribisha mkurugenzi mpya
 
Mi nataka nianze kujongea Mdogo Mdogo the wallet...kumbe hakuambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…