Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Kigoma wana ziwa Tanganyika linatoa ajira kwa wengi, michikichi..kwa mawese, wana mpunga, maharage haya ni kwa wakazi, lakini pia imasikini ni mkubwa sana.
Nimeelewa kwanini waha wakija Dar na mikoani hawacheki na Nyani.[emoji38]
Kwetu kigoma sisi ni masikini sana huwezi kaaufurahie Hali

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri natakiwa fika kigoma...
Nimekua na wanawake kadhaa maishani mwangu bila kuwauliza malabila wala kuwajua kabla, watano nilijikuta wanatoka kigoma na ni waifu material wote
 
Nafikiri natakiwa fika kigoma...
Nimekua na wanawake kadhaa maishani mwangu bila kuwauliza malabila wala kuwajua kabla, watano nilijikuta wanatoka kigoma na ni waifu material wote
Sura binafsi sio, haha...wanajituma mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…