LGE2024 Kigoma: Moto wa vurugu katika kura za maoni CCM umeendelea kukolea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Vurugu zimezuka kura za maoni Uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera Serikali za mitaa Chama cha Mapinduzi mtaa wa Mwanga mkoani Kigoma mara baada ya wananchi kutoridhika na mchakato wa uchaguzi huo.Wajumbe hao wamalalamikia wizi wa kura uliofanywa na baadhi ya viongozi ikiwa Diwani wa Kata hiyo ambapo wameeleza baadhi ya wanachama kufukuzwa na kutokupiga kura na baadae matokeo kuzidi idadi ya wapiga kura.

“Kura za Wajumbe tumepata 297, ila kura za wenyeviti tumehesabu zimefika 548 kwa hiyo tumetoka hapa mpaka wilayani kushtaki wametuambia wanakuja wasipokuja kutatua hili tunaenda mkoani. Tumeshalalamika sana Mwenyekiti wa kata na Diwani wanatuhujumu na wakina mama wamefukuzwa kupiga kura na tunachokizungumza hapa hatumtaki diwani” Amesema Moja ya Mjumbe wa CCm Kata ya mwanga Kigoma.

Wananchi na wanachama wa CCM kata hiyo wamesema hawana Imani na Diwani wa kata ya Mwanga katika uchaguzi huo wa kura za maoni kwani amekuwa akiendeleza vitendo visivyofaa na kuvuruga mchakato wa Uchaguzi Jimboni.Sambamba na hilo wananchi wameonesha kutokuwa na Imani na kituo cha kupiga kura na jinsi uendeshwaji mzima wa mchakato wa uchaguzi katika kituo cha mwanga mkoani kigoma

CHANZO: EATV
 
Napata raha mimi nikisikia haya fisi yanaumizana natamani yauane kabisa kabisa. Hizi ni dalili nzuri sana kwani hadi kufikia mwakani kwenye kura za maoni ubunge na udiwani gogoro litakuwa kubwa na ni faida kwa wapinzani.
 
Vurugu zimezuka kura za maoni Uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera Serikali za mitaa Chama cha Mapinduzi mtaa wa Mwanga mkoani Kigoma mara baada ya wananchi kutoridhika na mchakato wa uchaguzi huo.Wajumbe hao wamalalamikia wizi wa kura uliofanywa na baadhi ya viongozi ikiwa Diwani wa Kata hiyo ambapo wameeleza baadhi ya wanachama kufukuzwa na kutokupiga kura na baadae matokeo kuzidi idadi ya wapiga kura.

“Kura za Wajumbe tumepata 297, ila kura za wenyeviti tumehesabu zimefika 548 kwa hiyo tumetoka hapa mpaka wilayani kushtaki wametuambia wanakuja wasipokuja kutatua hili tunaenda mkoani. Tumeshalalamika sana Mwenyekiti wa kata na Diwani wanatuhujumu na wakina mama wamefukuzwa kupiga kura na tunachokizungumza hapa hatumtaki diwani” Amesema Moja ya Mjumbe wa CCm Kata ya mwanga Kigoma.

Wananchi na wanachama wa CCM kata hiyo wamesema hawana Imani na Diwani wa kata ya Mwanga katika uchaguzi huo wa kura za maoni kwani amekuwa akiendeleza vitendo visivyofaa na kuvuruga mchakato wa Uchaguzi Jimboni.Sambamba na hilo wananchi wameonesha kutokuwa na Imani na kituo cha kupiga kura na jinsi uendeshwaji mzima wa mchakato wa uchaguzi katika kituo cha mwanga mkoani kigoma

CHANZO: EATV
Sijawasikia Tlaaah tlaah na Lucas,John katika hivi visanga vyao na watu wao.
 
Pole sana,
wewe hujaumizwa na uko salama lakini gentleman, right?

tatizo liko wapi kama mjumbe amepata 297, na mwenyekiti akapata 548?

wewe ulitaka mwenyekiti apate kura ngapi na mjumbe apate kura ngapi, hali ya kua kura yako ni moja tu 🐒
 
Safi saana walikuwa wanaiba kwa jirani wakadhani hayatawarudia
 
CCM hii imechoka Hadi kiasi hata yenyewe imejichoka, tatizo tu Ni kwamba Hakuna hata walio tayari Na vyama vyao kusaidia kuiweka CCM Kando. Akina Mbowe walishakula mirungula nao wamebaki kupiga debe tu kama vikasuku vya kufugwa mabandani
 
Back
Top Bottom