LGE2024 Kigoma: Mwenyekiti wa kijiji aliyemaliza muda wake kupitia CCM amuombea Kura Mgombea wa ACT Wazalendo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakuu!

Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM?
===================

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo Juma Helandogo akieleza kuwa mgombea wa ACT anapaswa kufuata nyayo zake kwa kuendeleza alipoishia, na kuongeza maendeleo pale penye haja ya kuendelea zaidi.

Soma Pia:
Tukio hilo limetokea Novemba 21, 2024 wakati wa mkutano wa kampeni ACT Wazalendo katika kijiji hicho ambapo Venance amesema katika kipindi cha uongozi wake alifanya jitihada mbalimbali ikiwamo kutatua migogoro baina ya wakulima na wafugaji na ujenzi wa baadhi ya madarasa ya shule kijijini hapo, hivyo Helandogo anatakiwa kusimama kidete kuhakikisha maendeleo chanya zaidi yanapatikana ndani ya kijiji hicho.

ccm na ACT WAZALENDO ni mtu mpenzi wake
 
Ukweli ni kwamba there is something going on kati ya Zambarau na mbogamboga. Kuna mama amegombea kupitia mbogamboga, then aliyemaliza mda kupitia mbogamboga, amehamia Zambarau baada ya kushindwa maoni. Sasa mama analalamika jamaa ana nguvu balaa, na kila akiomba msaada kwa vyombo vinamkaushia. Anahisi Kuna jambo lipo nyuma ya pazia
 
Watu wanaosemaga uchawi hakuna, waende Kigoma
 
Wakuu!

Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM?
===================

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo Juma Helandogo akieleza kuwa mgombea wa ACT anapaswa kufuata nyayo zake kwa kuendeleza alipoishia, na kuongeza maendeleo pale penye haja ya kuendelea zaidi.

Soma Pia:
Tukio hilo limetokea Novemba 21, 2024 wakati wa mkutano wa kampeni ACT Wazalendo katika kijiji hicho ambapo Venance amesema katika kipindi cha uongozi wake alifanya jitihada mbalimbali ikiwamo kutatua migogoro baina ya wakulima na wafugaji na ujenzi wa baadhi ya madarasa ya shule kijijini hapo, hivyo Helandogo anatakiwa kusimama kidete kuhakikisha maendeleo chanya zaidi yanapatikana ndani ya kijiji hicho.

Hilo ndilo neno la mungu.........sifa kwako ee kristo.
 
Back
Top Bottom