Kigoma: Radi yaua mama na mwanae wakiwa shambani

Kigoma: Radi yaua mama na mwanae wakiwa shambani

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mama aliyefahamika kwa jina la Berthania Zabron na mwanaye Loveness Kulwa mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane wamepoteza maisha huku baba wa familia hiyo Christopher Kulwa Abel akijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa shambani mkoani Kigoma. https://t.co/P5JkRYJBpI
20220322_174009.jpg
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele, amina.

Nasubiria wale wenye imani za matambiko waje washuhudie uwongo wao hapa kuwa huyo Mama kafa nnje ya mpango wa mwenye uhai(Mungu)

Kwa sisi tunaoamini kifo chochote ni tarehe husika ya Mtu kurudi mavumbini tunaambatanisha ushahidi hivi [emoji116][emoji116]

MATHAYO 10:28

Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
 
Upo sahihi ila vipo aina tofauti kama 3 au 4 Mkuu mtu anaweza kufa na miaka 80 ila bado yupo duniani anarandaranda
 
Yai huwa ikipiga sehemu inataga mayai. Ni vingunge tu ndiyo wana utalamu wa kuyachukua. Wanayatotolesha na ikishakomaa wanaanza kutuma kwa watu. 😀😀
 
Ila na wee ni si wakawaida umeweza kupiga picha hiyo radi, ebu twambie hiyo speed ya camera yako.
 
Back
Top Bottom