Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa watupu sana halafu huyo mwanasheria wao ndio anazidi kuwaingiza Chaka.
Hawa jamaa watupu sana halafu huyo mwanasheria wao ndio anazidi kuwaingiza Chaka.
CCM kutumia majeshi ya kukodi kuleta nyomi kwenye kampeni............aibu!!!Point yako ni nini? Rais wa nchi jirani ni kosa kufanya ziara?
Jengo la mahakama wanazindua marais wawili?
Kwa hiyo viongozi wa nchi wasifanye lolote kwa sababu ya vyeo vyoo wakati wa kampeni!!.Kuna siku JK akiwa rais alikwenda Sweden kipindi cha kampeni za nchi hiyo, nakumbuka alikataliwa kwani ilisemekana waziri mkuu wao angetumia ziara hiyo kupata airtime kubwa dhidi ya wenzake. Hiyo ni kwa mujibu wa binadamu huko duniani. Kwetu sisi manyani bado ni tatizo kubwa kufikia ustaarabu huo, ndio maana Museveni alikuja kuiombea ccm kura, jambo ambalo ni kosa la kidiplomasia nchi nyingine kuingilia chaguzi za nchi nyingine.
Sheria si inabadilishwa tu kuendana na matakwa ya wananchi? Nini kinashindikana? Kwani katibu mkuu kiongozi ambaye ni mwajiriwa wa serikali hawezi kuendesha mambo tena kwa kipindi cha miezi miwili tu ya kampeni?Ulitaka nchi isiwe na Rais wakati wa uchaguzi?? Niambie nchi gani duniani ambayo wakati wa uchaguzi huwa haina Rais? Umbumbumbu wa sheria unawasumbua sana wanasaccos mkidanganywa na huyo zezeta wenu mnafikiri anajua sana sheria!!
Inabidi tuwe wapole hapa ni Afrika, hatuwezi kuiga kila ustaarabu wa wazungu...kipindi cha kampeni ziara za viongozi wa kigeni husitishwa.
..matamasha ya wanamuziki yameshindikana, sasa mmeamua kujaribu ziara za Maraisi.
Lissu rais kipenzi cha watanzaniaMkuu wa Mkoa wa Kigoma, CP Thobias Andengenye anapenda kuwaarifu wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli kesho tarehe 19.09.2020 atapokea ugeni wa kiserikali, wa Rais wa Burundi, Mh. Evariste Ndayishimiye, ambaye atafanya ziara RASMI ya KISERIKALI nchini Tanzania hapa mjini Kigoma.
Mapokezi ya Mh. Rais Evariste Ndayishimiye yatafanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika. Wananchi wote mnaalikwa kufika Uwanja wa Lake Tanganyika saa mbili kamili asubuhi bila kukosa. Wananchi pia mnajulishwa kuwa, baada Mapokezi ya Ugeni huo na salaam kwa Wananchi, Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mgeni wake watafungua Jengo la Mahakama Kuu Kigoma katika eneo la Bangwe saa Tatu Kamili Asubuhi. Wananchi wote mnaalikwa pia kufika katika shughuli hiyo.
Huyu RC hajui Jengo la Mahakama Kuu liko wapi? Nisaidieni wana Kigoma, mimi nijuavyo ofisi zote za serikali/ mji wa serikali ni eneo la Mnarani .Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, CP Thobias Andengenye anapenda kuwaarifu wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli kesho tarehe 19.09.2020 atapokea ugeni wa kiserikali, wa Rais wa Burundi, Mh. Evariste Ndayishimiye, ambaye atafanya ziara RASMI ya KISERIKALI nchini Tanzania hapa mjini Kigoma.
Mapokezi ya Mh. Rais Evariste Ndayishimiye yatafanyika katika uwanja wa Lake Tanganyika. Wananchi wote mnaalikwa kufika Uwanja wa Lake Tanganyika saa mbili kamili asubuhi bila kukosa. Wananchi pia mnajulishwa kuwa, baada Mapokezi ya Ugeni huo na salaam kwa Wananchi, Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mgeni wake watafungua Jengo la Mahakama Kuu Kigoma katika eneo la Bangwe saa Tatu Kamili Asubuhi. Wananchi wote mnaalikwa pia kufika katika shughuli hiyo.
Sema Unachukia usibebe nafsi za watuNa bado hata wakija marais wangapi haisaidii kitu watu wamechoka tena wanachukia zaidi wanaposikia haya.
Inabidi tuwe wapole hapa ni afrika hatuwezi kuiga kila ustaarabu wa wazungu.
Kwa hiyo viongozi wa nchi wasifanye lolote kwa sababu ya vyeo vyoo wakati wa kampeni!!.
Hii ni afrika sio Sweden, hizi ni nchi zenye kupokea misaada hazijafikia bado hadhi ya kutoa misaada.
We kenge.ee wa lumumba sheria ikiwekwa vizuri itamzuia Rais aliyeko madarakani kutumia mwanya wa nafasi Alonayo "incumbent position " kushawishi Umma kumchagua tena. Nenda shule tena.