KIGOMA: Rais wa Burundi, Evariste Ndaishimiye apokelewa na Rais Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika, asema ana uhakika Dkt. Magufuli atashinda uchaguzi

bao la mkono la kwanza - Chato - Museveni kaleta maboksi ya kura
Goli la mkono la pili - kigoma- Rais wa Burundi kaingiza maboksi ya kura
too low,hizi ndio akili za wafuasi wa chadema
ungetuwekea picha basi hayo maboksi ya kura
 
Huu mwaka huu uchaguzi ccm wanatumia pesa nyingi Sana wasanii zaidi ya Mia moja. Wapanda malori zaidi ya alfu moja kila kata kila jimbo wanatembea na magufuli kila mkoa. Haya nchi marafiki Uganda 🇺🇬 Burundi 🇧🇮 marais wao nao wana kuja kumuombea kura matukio yote hapo pesa inatumika sio bure . Nilichogundua binafsi kifo cha mkapa ni pengo kubwa Sana kwa ccm. Nakingine magufuli alikosea nini miaka minne iliyopita mbona lissu ananguvu kubwa Sana hii nguvu hanaipata wapi
 
Pinga pinga wanaumia roho najua

Na kama kawaida yao watakua wanafuatilia TBC1 japo ndo vinara wakuitukana

Tuumie kwa rais wa Burundi, ingekuwa rais wa US si mngeweka picha zenu za utupu hapa jukwaani? Ni makosa kwa sheria za kimataifa nchi moja kuingilia uchaguzi wa nchi nyingine. Hii sio kingine zaidi ya kuendekeza udictator uchwara.
 
Amekuwa mnyenyekevu sana kwa kumuita jpm baba,

Amemsifia sana na kumwombea kura.


Je, wataalamu wa saikolojia, ujasusi na diplomasia huyu Generali evariste ndaishimiye anawinda nini Tanzania kwa siku za usoni?
 
Mgeni amenena vyema, angeongea ukweli asingechinjiwa jogoo.
 
"Uzi ko sogokuru yavuye aho. Noneho uri umuvandimwe wanjye wamaraso reka tubane." ... .. sisi ni ndugu wa damu. Amesika bwana yule katika mapokezi.
Unkubweno ukwago ubutusi abenyo....
muwe mnaandika kiswahilli!
 
Hivi ni kwa nn jamaa anapenda kuwaalika madikteta tu tena kipindi hiki cha uchaguzi?🤔🤔
Zaidi ya hilo nasikia museven asili yake ni mhutu..... 😒😒

Tuendelee kujiuliza pamoja👍👍
 
Birds of the same feather fly together! It was Mseveni and then Ndaishimiye.
 
Kumbukumbu, 2015 Nkurunzinza alipinduliwa akakimbilia Tanzania...kwa sasa ni marehemu.
Wewe mwongo...kulifanyika jaribio la mapinduzi akiwa Ikulu Dar es Salaam kwenye mkutano wa viongozi wa Afrika Mashariki...akiwa kwenye mkutano na baada ya habari hizo akaondoka na kurejea Burundi na akazima jaribio Hilo...walioanzisha jaribio Hilo walifyekelewa mbali na wengine kukimbilia Rwanda waliowatuma...
 
Hivi ni kwa nn jamaa anapenda kuwaalika madikteta tu tena kipindi hiki cha uchaguzi?🤔🤔
Zaidi ya hilo nasikia museven asili yake ni mhutu..... 😒😒

Tuendelee kujiuliza pamoja👍👍
Huyo wa Burundi ni dikteta...!!??
au mnapenda kuandika bila kutafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…