KIGOMA: Rais wa Burundi, Evariste Ndaishimiye apokelewa na Rais Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika, asema ana uhakika Dkt. Magufuli atashinda uchaguzi

Hiyo haikuwa theme ya post yangu.
 
Kwa hiyo kwa muda mfupi tu tangu aingie madarakani kwa sababu ni jamii ya Nkurunzinza basi umepata jibu kwamba jamaa ni dikiteta?
Kwani ameanza kutawala leo?Huyo jamaa alikuwa ni right handman of Nkurunzinza,anayo damu ya warundi mikononi mwake.Yaani ni sawa na MaliyaMungu angekuwa mbadala wa Eid Amin au Bashite angekuwa mbadala wa Jiwe.Imetumika nguvu kubwa kumuingiza huyo jamaa madarakani!
 
Kama unajua hivyo next time usirudie kuropoka bila kuelewa mambo sawa sawa ww kilaza aka kiazi mbatata...
Nyie mazwazwa na misukule ya lumumba mnashida sana. Haya basi umeshinda kachukue tuzo ccm mtaa lumumba😒😒
 
Hahaaaa..... Inauma lkn ndo dawa mkuu🤔🤔
Sijawahi na siwezi kuwa mwana ssm wa cdm...
wala chama chochote......
mm ni free agent tek that....
nyie ndio wale kila mzungu mnadhani ni padre!!
 
Sijawahi na siwezi kuwa mwana ssm wa cdm...
wala chama chochote......
mm ni free agent tek that....
nyie ndio wale kila mzungu mnadhani ni padre!!
Sawa sawa mkuu.....Utaingia tu kwenye 18. I swear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…