Official lupo
New Member
- Jul 15, 2021
- 1
- 0
Sheria ifuate mkondo wakeAlafu Rais anasita kusaini kunyongwa kesi kama hii.....unajua ndio maana nasema Nyerere namuheshimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria ifuate mkondo wakeAlafu Rais anasita kusaini kunyongwa kesi kama hii.....unajua ndio maana nasema Nyerere namuheshimu sana
we ni mat.. koSina akili timamu ndo mana nikakomenti hivo. Haya kunywa uji ulale
Msumari umechoma kote kote
Msumari umechoma kote kote
ajabu ni kuwa kwenye nchi hii, maeneo wanayotoka hao wavaa 'magauni' kama ulivyosema ndiko kunakoongoza kwa amani na ukosefu wa vitendo vya kishenzi..........naiachia nafsi yako ipambane na ukweli au uongo wa hili!Huyo alievaa hilo gauni huwa roho zao ni ngumu sana
Nakushauri dandia ndege ya wataleban ukimbie😂😂😂Huyo alievaa hilo gauni huwa roho zao ni ngumu sana