Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kuna hii video kutokea huko Kasulu mkoani Kigoma inayomuonesha Afisa mwandikishaji ambaye amebainisha kuwa amepewa marufuku na TAMISEMI kwamba mawakala wa upinzani hawatakiwi kugusa daftari la orodha ya wapiga kura.
Mvutano wa wawili hao umesababisha mabishano makubwa kati yao!
Soma pia: TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?
Hivi ni lini CCM watakubali kucheza fair and square kwenye zoezi zima la uchaguzi?