LGE2024 Kigoma: Wakala wa CHADEMA arushiana maneno na Afisa uandikishaji baada ya kukatazwa kugusa daftari lenye orodha ya waliojiandikisha

LGE2024 Kigoma: Wakala wa CHADEMA arushiana maneno na Afisa uandikishaji baada ya kukatazwa kugusa daftari lenye orodha ya waliojiandikisha

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kuna hii video kutokea huko Kasulu mkoani Kigoma inayomuonesha Afisa mwandikishaji ambaye amebainisha kuwa amepewa marufuku na TAMISEMI kwamba mawakala wa upinzani hawatakiwi kugusa daftari la orodha ya wapiga kura.

Mvutano wa wawili hao umesababisha mabishano makubwa kati yao!

Soma pia: TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

Hivi ni lini CCM watakubali kucheza fair and square kwenye zoezi zima la uchaguzi?

 
Mmbona kusumbua anayeandikisha

Hilo daftari litawekwa wazi uandikishaji ukikamilika
 
Wakala usimpe daftari
Hilo taratibu zinataka liwekwe wazi mwisho wa zoezi sio sasa hivi asikusumbue
 
Back
Top Bottom