Kuna hii video kutokea huko Kasulu mkoani Kigoma inayomuonesha Afisa mwandikishaji ambaye amebainisha kuwa amepewa marufuku na TAMISEMI kwamba mawakala wa upinzani hawatakiwi kugusa daftari la orodha ya wapiga kura.
Mvutano wa wawili hao umesababisha mabishano makubwa kati yao!