Kigoma: Wananchi Kigogwe waandamana, wasema wanataka daraja na siyo kibembea

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu.

Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko ambavyo wananchi wenyewe wamejenga.

Pia soma:
 
Pia soma: Bashungwa Aagiza Kukamatwa kwa Mkandarasi anayejenga Daraja la Mpiji Chini - Dar
ukisikia budget ya kujenga hiyo bembea sasa unaweza kukuta milion 20, plus 3 za upembuzi yakinifu.
 
Back
Top Bottom