Kigoma: Wananchi Kigogwe waandamana, wasema wanataka daraja na siyo kibembea

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu.

Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko ambavyo wananchi wenyewe wamejenga.

Your browser is not able to display this video.

Pia soma:
 
ukisikia budget ya kujenga hiyo bembea sasa unaweza kukuta milion 20, plus 3 za upembuzi yakinifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…