Kigoma: Wanawake wakiuza bidhaa kwenye boti huku wao wakiogelea

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Wanawake wa Ziwa Tanganyika wanauza bidhaa kwa wasafiri wa boti wao wakiwa wanaogelea/wanaelea ndani ya maji.” Umaskini siyo ufahari. Kujaribu kusema “Mungu anampa kila mmoja riziki kwa jinsi anavyoitafuta”.., That’s a total non-starter.

Hawa wananchi kwa uwepo wa Ziwa Tanganyika, walitakiwa kuishi kama wapo peponi. Hii ni laana ya rasilimali (resource curse). Kusema “kila mtu ana riziki yake” ni kujaribu ku’ romanticise umaskini. Normalization of Suffering. Tutakuwa tunajikosea.Rasilimali ya asili kama uwepo wa Ziwa Tanganyika zilipaswa kuwa injini ya kukuza uchumi wa eneo lote la nchi za Maziwa MakuuZiwa Tanganyika ni mojawapo ya maziwa maarufu na ya kipekee sana duniani.

Nitaeleza kwa ufupi sana baadhi ya sifa zake;Ziwa Tanganyika ni ziwa la pili kwa kuwa na kina kirefu zaidi duniani (mita 1,470) baada ya Ziwa Baikal nchini Urusi (mita 1,642)Ziwa Tanganyika ni ziwa refu zaidi la maji baridi duniani (longest freshwater lake). Ziwa Tanganyika likiwa na urefu wa 673kmZiwa Tanganyika liinahifadhi takribani 16% hadi 18% ya maji yote baridi yasiyo ya barafu yaliyo juu ya uso wa ardhi duniani.

Zaidi ya 80% ya spishi zote za samaki wanaopatikana Ziwa Tanganyika hawapatikani pengine popote duniani kwa asili.Kuna zaidi ya species 250 za samaki wa familia ya Cichlidae zilizogunduliwa ziwa Tanganyika. 98% wanapatikana humo.Ziwa Tanganyika ni chanzo kikuu cha chakula na kipato kwa mamilioni ya watu kupitia uvuvi wa Dagaa na Migebuka.Ziwa Tanganyika ni njia muhimu ya usafiri inayounganisha nchi nne za Ukanda wa Maziwa Makuu.

Tanzania, DRC, Burundi, ZambiaWanawake wanaozunguka Ziwa hilo, maisha yao ni duni, hawana kipato, na hakuna miundombinu wezeshi wao kufanya biashara.Wanawake hao wanalazimika kuogelea kama samaki familia ya Cichlidae ili kuweza kuuza bidhaa zao kwa wasafiri katika boti.Kukosekana kwa masoko ya kisasa ya ufukweni, mialo salama, na miundombinu ya kuhifadhia au kuuzia bidhaa ni tatizo kubwa.

Kukosekana mambo hayo kunawalazimisha wanawake kuweka maisha hatarini katikati ya maji ili kupata kiasi kidogo cha fedha.Hawastahili kuteseka kabisa. Lakini MaCCM yanafurahia.

Credit Martin Maranja Masese
 
View attachment 3668281

Wisha wanawake kuweka maisha hatarini katikati ya maji ili kupata kiasi kidogo cha fedha.Hawastahili kuteseka kabisa. Lakini MaCCM yanafurahia.

Credit Martin Maranja Masese
Nani kakuambia Viongozi wanakutakia maendeleo, nani kasema !!!!

Ukitajirika hawatakuaendesha, kukuburuza wala kukuhonga t-shirt na kanga na sahani ya wali.
 
Wanawake wa Ziwa Tanganyika wanauza bidhaa kwa wasafiri wa boti wao wakiwa wanaogelea/wanaelea ndani ya maji.” Umaskini siyo ufahari. Kujaribu kusema “Mungu anampa kila mmoja riziki kwa jinsi anavyoitafuta”.., That’s a total non-starter.

Hawa wananchi kwa uwepo wa Ziwa Tanganyika, walitakiwa kuishi kama wapo peponi. Hii ni laana ya rasilimali (resource curse). Kusema “kila mtu ana riziki yake” ni kujaribu ku’ romanticise umaskini. Normalization of Suffering. Tutakuwa tunajikosea.Rasilimali ya asili kama uwepo wa Ziwa Tanganyika zilipaswa kuwa injini ya kukuza uchumi wa eneo lote la nchi za Maziwa MakuuZiwa Tanganyika ni mojawapo ya maziwa maarufu na ya kipekee sana duniani.

Nitaeleza kwa ufupi sana baadhi ya sifa zake;Ziwa Tanganyika ni ziwa la pili kwa kuwa na kina kirefu zaidi duniani (mita 1,470) baada ya Ziwa Baikal nchini Urusi (mita 1,642)Ziwa Tanganyika ni ziwa refu zaidi la maji baridi duniani (longest freshwater lake). Ziwa Tanganyika likiwa na urefu wa 673kmZiwa Tanganyika liinahifadhi takribani 16% hadi 18% ya maji yote baridi yasiyo ya barafu yaliyo juu ya uso wa ardhi duniani.

Zaidi ya 80% ya spishi zote za samaki wanaopatikana Ziwa Tanganyika hawapatikani pengine popote duniani kwa asili.Kuna zaidi ya species 250 za samaki wa familia ya Cichlidae zilizogunduliwa ziwa Tanganyika. 98% wanapatikana humo.Ziwa Tanganyika ni chanzo kikuu cha chakula na kipato kwa mamilioni ya watu kupitia uvuvi wa Dagaa na Migebuka.Ziwa Tanganyika ni njia muhimu ya usafiri inayounganisha nchi nne za Ukanda wa Maziwa Makuu.

Tanzania, DRC, Burundi, ZambiaWanawake wanaozunguka Ziwa hilo, maisha yao ni duni, hawana kipato, na hakuna miundombinu wezeshi wao kufanya biashara.Wanawake hao wanalazimika kuogelea kama samaki familia ya Cichlidae ili kuweza kuuza bidhaa zao kwa wasafiri katika boti.Kukosekana kwa masoko ya kisasa ya ufukweni, mialo salama, na miundombinu ya kuhifadhia au kuuzia bidhaa ni tatizo kubwa.

Kukosekana mambo hayo kunawalazimisha wanawake kuweka maisha hatarini katikati ya maji ili kupata kiasi kidogo cha fedha.Hawastahili kuteseka kabisa. Lakini MaCCM yanafurahia.

Credit Martin Maranja Masese
Maendeleo hayana chama
 
kuna maisha mengine kama haujawahi kuyaishi unaona kama movie vile,
Sure mambo yamebadilika sana nilienda Nyasa juzi kati yani hamna hata dagaa wa 500,ukiangalia waliowengi pale ni wavuvi ukilinganisha na mwaka jana miezi hii hii samaki ,dagaa walikuwepo wakutosha ,hapo wanavua kwa shida bado kuuza kwa shida tena mazingira ya hatari...ila ndio cycle ya maisha
 
Back
Top Bottom