Kigoma: Watu 10 wafariki dunia baada ya boti kuzama ziwa Tanganyika

Kigoma: Watu 10 wafariki dunia baada ya boti kuzama ziwa Tanganyika

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Watu Kumi wamefariki dunia na wengine 87 wameokolewa baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupigwa na dhoruba na kuzama katika ziwa Tanganyika.

Mkuu wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye Amethibitisha.

Taarifa zaidi zinakuja....
 
Back
Top Bottom