JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Iheshimu Mwanza... Miguu itatumika vipi kutafta samaki ziwaniDunia inamambo kuna watu kigoma wamekamatwa na mbavu na mguu wa binadamu hao watu baada ya kuhojiwa wanasema wametumwa na mtu wa mwanza au ndo wanatumia kwenye kuvulia samaki na inasemekana waifukua kaburi
Sio Mwanza tu, wavuvi wengi wanatumia ushirikina ili wapate samaki...
Iheshimu Mwanza... Miguu itatumika vipi kutafta samaki ziwani
Wacha kuitetea mwanza ina matukio ya ajabu sana!!! Ivi Simiyu ipo wapi vile[emoji848]Iheshimu Mwanza... Miguu itatumika vipi kutafta samaki ziwani
MWANZA MWANZA MWANZA imeifunika MBEYA"Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mtutu"
Young killer
Inasemekana walikuwa wanapigana ngumi mara kwa mara huenda mzee baba alikuwa anazidiwa akaona isiwe tabu!!!"Kwenye ulingo wa ngumi watu wamebeba mtutu"
Young killer
Simiyu iko Simiyu mkuu.Wacha kuitetea mwanza ina matukio ya ajabu sana!!! Ivi Simiyu ipo wapi vile[emoji848]
Leo Niliandika Uzi ambao sehemu kubwa ulikuwa umegusia hayo mambo, moderators Kwa roho mbaya zao wakaufuta.Dunia inamambo kuna watu kigoma wamekamatwa na mbavu na mguu wa binadamu hao watu baada ya kuhojiwa wanasema wametumwa na mtu wa mwanza au ndo wanatumia kwenye kuvulia samaki na inasemekana waifukua kaburi
Wanachekea chooni.Hao waliotolewa mbavu..kwa hiyo saiv hawacheki