Leo Niliandika Uzi ambao sehemu kubwa ulikuwa umegusia hayo mambo, moderators Kwa roho mbaya zao wakaufuta.
Ni mzawa wa pili wa Mwanza baada ya GeitaWacha kuitetea mwanza ina matukio ya ajabu sana!!! Ivi Simiyu ipo wapi vile[emoji848]
Hawajaua, wamefukua kaburini
kwaiyo fresh au sioHawajaua, wamefukua kaburini
FRESH TUkwaiyo fresh au sio
Uzi umefutwaUnaweza nitumia link yake?
Mikoa mingi tu ina matukio ya ajabu mbonaWacha kuitetea mwanza ina matukio ya ajabu sana!!! Ivi Simiyu ipo wapi vile[emoji848]