TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Pamoja na kukusanya mapato kila siku ya Shilingi 500 kupanda kivuko, lakini kuna Shilingi 200 kwa kila anayetumia huduma ya vyoo hapa ferry.
Kitu kinachochefua ni huduma mbovu ikiwepo na ubovu wa vyoo, maji hakuna, vyoo vichafu na hazifanyiwi usafi.
Nimeshangazwa sana na hali hii kutokana na mapato ambayo nilimuuliza msimamizi kwa lugha ya investigation akasema pesa inayokusanywa kila siku, kweli ni nyingi.
Mh. Bashungwa nadhani hapa napo kuna haja ya kutuma au kwenda kuangalia, kwanza hawatoi risiti yoyote so pesa sijui inaenda kwa nani?.
Picha hizi hapa.
👆🏾 Ni sehemu ya haja ndogo upande wa Wanaume, hapo nimekutana na nyuki wakitafuta malisho yao pamoja na harufu kali.
👆🏾 Hapo ni sehemu ya kunawa mikono, lakini hapafai hata wao wameona iwe sehemu ya kutunzia kisafisha choo, angalia tiles hapo chini.
👆🏾Hii siyo chai ya maziwa ni maji yaliyopo ndani ya choo hapo kivukoni na hamna chombo cha kuchotea maji, japokuwa maji masafi ya ziwa Victoria yapo hatua 3 hapo nje.