Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Panda basi mpaka Songea, then utapanda lingine hadi kigonsera. Siku hizi kuna lami hadi Mbinga. Toka Songea hadi Kigonsera ni maximum of 1.5 hours. Usisahau mavazi ya kukukinga na baridi. Udongo ni mwekundu, wakazi wa kule wanaita NGUNJA. Mjini kwao kunaitwa Harare. Ukitoka Songea unafuata mtiririko ufuatao ki vijiji.... Ruhuwiko (Hapa kuna ST Joseph University, Njia panda ya Peramiho (Peramiho hospital), Njia panda ya Magagura (Kuelekea JKT Mlale), Kitai (Gereza la kitai, njia panda ya kuelekea Lituhi Nyasa), Mkako (Hapa kuna Likonde Seminary) then Kigonsera. Ni umbali wa kama 70kM toka Songea mjini. Wakazi wa hapo ni Wamatengo na mchanganyiko na wangoni....Jamani nimepangiwa cbg kigonsera huko Ruvuma mi niko Dodoma naombeni msaada wenu kwa wanaifahamu hiyo shule kitaaluma,mazingira na anielekeze nitafika vp
Dogo ngalikihinja atakuwa ameondoka muda mrefu huku, siku hiz kuna gari za dar -mbinga via kigonsera hakuna haja ya kulala songea mjini utaongeza gharama. vingine alivokuelekeza ni sahihi.
nashukuru kwa msaada wako mkuu!
Usijari dogo karibu sana kigonsera "a center for accademic excellence.