Kigugumizi

Kigugumizi

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Ninavyofahamu kigugumizi hurithiwa,je inaweza kutokea mtu akakipata nje ya kurithi?
 
nilipokuwa mdogo nilikuwa nacho baada ya kufikisha miaka 9 kilikwisha chenyewe..keep trust in God
 
nilipokuwa mdogo nilikuwa nacho baada ya kufikisha miaka 9 kilikwisha chenyewe..keep trust in God

Labda kilikuwa kidogo,with time kinapotea though I trust in God and church goer.
 
Back
Top Bottom