Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Mimi nilikuwa kuwa mwanasiasa kijana machachari nimeingia bungeni nikaona kuna fursa ya kuomba ah nafasi ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania..."
"Mbali na kwamba ah ilikuwa ni haki yangu ya kikatiba nilikuwa na sifa zote lakini pili mimi ni mtu ninayependa kudhubutu.
"Mbali na kwamba ah ilikuwa ni haki yangu ya kikatiba nilikuwa na sifa zote lakini pili mimi ni mtu ninayependa kudhubutu.