john b kimatare kimaro
Member
- Aug 4, 2014
- 20
- 36
Ccm ndo walivyo hasa upande wa kisiasa ukikaa vibaya.Kigwangala ana wenge ,
anajiona pale Simba anamchango mkubwa Sana wakati mchango pekee anautoa ni kupiga tarumbeta
Toka Mo alivyomkazia mkopo hajawahi kuwa na Lugha moja na Mo
Kibaya anampinga Mo ata Kwa mambo ambayo yana maslahi mazuri Kwa Simba .
Hata kumfikiria tu kuwekeza Simba ni sawa na mtu kuwa punguani.Wanasimba wenzangu embu tujiuze Kigwangalla ameifanyia nn Simba? Ni kwa nn anajitokeza kipindi tu kunapokuw na msigano baina ya sSimba na mwekezaji Mo?
Tusimpe mwanya mtu mwenye chuki zake binafis akatuharibia mwenendo wetu so far Mo kaifikisha simba sehemu ambayo wengine walishindwa badala yake walikuwa wanatuletea ngonjera tu.