Kigwangala ana nini?

Kigwangala ana nini?

Joined
Aug 4, 2014
Posts
20
Reaction score
36
Wanasimba wenzangu embu tujiuze Kigwangalla ameifanyia nn Simba? Ni kwa nn anajitokeza kipindi tu kunapokuw na msigano baina ya sSimba na mwekezaji Mo?

Tusimpe mwanya mtu mwenye chuki zake binafis akatuharibia mwenendo wetu so far Mo kaifikisha simba sehemu ambayo wengine walishindwa badala yake walikuwa wanatuletea ngonjera tu.
 
Huyo ana hasira zake za kunyimwa mkopo wa pikipiki kwa ajili ya kampeni. Kama ni hisa, zipo 51% zinasubiri wanunuzi, labda kama ana mpango wa kununua zaidi ya 51% (jambo ambalo hata hivyo haliruhusiwi kikanuni)
 
Kigwangala ana wenge ,
anajiona pale Simba anamchango mkubwa Sana wakati mchango pekee anautoa ni kupiga tarumbeta

Toka Mo alivyomkazia mkopo hajawahi kuwa na Lugha moja na Mo

Kibaya anampinga Mo ata Kwa mambo ambayo yana maslahi mazuri Kwa Simba .
 
Ccm ndo walivyo hasa upande wa kisiasa ukikaa vibaya.
 
Wanasimba wenzangu embu tujiuze Kigwangalla ameifanyia nn Simba? Ni kwa nn anajitokeza kipindi tu kunapokuw na msigano baina ya sSimba na mwekezaji Mo?

Tusimpe mwanya mtu mwenye chuki zake binafis akatuharibia mwenendo wetu so far Mo kaifikisha simba sehemu ambayo wengine walishindwa badala yake walikuwa wanatuletea ngonjera tu.
Hata kumfikiria tu kuwekeza Simba ni sawa na mtu kuwa punguani.
Anamiliki chuo cha afya kule Nzega miaka mingi na kimemshinda.
 
Kwa maisha ya sasa msiamini kila kinachoongelewa mitandaoni hata diva the bawse alikuwa anasema ndoa yake ina amani kuliko ndoa yoyote ile duniani Mo kaamua kuwavuruga yanga na kweli wamevurugika Mo hawezi kuongelea suala kama lile mitandaoni kama mtoto mdogo wakati anawajuwa wahusika na sehemu ya kuwapata amkeni yanga manara anawaingiza king
 
Back
Top Bottom