Kigwangala awatolea uvivu walalamikia tozo wanaoonea wivu Mawaziri

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu

kigwaaaa.JPG
kigwa 2.JPG
 
View attachment 2328602View attachment 2328603
Kingwangala hajawahi kuwa na akili, ameulizwa swali kwa busara tena swali lenye hoja ila anajibu as if ni mtoto wa form 2,
 
Leta comments zote usichambue hizo mbili !
Hizo mbili zinatosha kabisa kuelezea ni kiasi gani ana kiburi na anakejeli watu wanaoteseka ili yeye apate mshahara kwa kuuza maneno na kugonga meza.

Viongozi wanapaswa kuchagua maneno na muda wa kuongea. Sijui ni kwanini hawajifunzi kwa kijana mwenzao January.
 
Ila huyu jamaa ni kichwa sana, mama akimrudisha kwenye uwaziri halafu akaunganika na makamba, Nape, mwigulu itakuwa combination ya hatari sana, Tanzania tuna bahati sana kwa kweli kuna nchi zinatamani hawa vijana waende kuwatawala ila sisi kila siku tunawalaumu tu

View attachment 2328602View attachment 2328603
Nileteeni Kigwangala...nileteeni Kigwangala...Nileteeeni Kigwangalaaaa

Fedheha za Uchafuzi Mkuu wa 2020 wa kutuletea wabunge wa mfukoni hayo ndio madhara yake
 
Hizo mbili zinatosha kabisa kuelezea ni kiasi gani ana kiburi na anakejeli watu wanaoteseka ili yeye apate mshahara kwa kuuza maneno na kugonga meza.

Viongozi wanapaswa kuchagua maneno na muda wa kuongea. Sijui ni kwanini hawajifunzi kwa kijana mwenzao January.
wasipochunga maneno hayo watafanywa nini? inategemea mtu yuko nchi gani ,kwa Tanzania kweli uhofie?
ikifika uchaguzi anko mahela anakubeba, mkurugenzi analipwa na Rais atangaze mpinzani kashinda????
watu wana uhakika kabisa kupita bila kupingwa maana wapinzani hawajui kujaza forms.
 
Back
Top Bottom